Freemasonry Wametushika kila kona

Kama umeenda shule,nakushauri hiyo kitu achana nayo kabisa

Umenena vyema kwa mtu alieenda shule habari za freemason ni uozo mtupu, wasio na chakufanya ndio wanaentertain haya mambo
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.....endeleeni kushangaa upuuzi
 
wanacontrol maisha yako fungua macho

Your life is 100% your responsibility. Kudhani kuna mtu anakucontrol ni kukosa akili kwa kiwango cha juu

Una elimu kiasi gani? Kama umefika hata chuo na bado unaamini huu upuuuzi itakuwa Umesoma TEKU

Watu waliokosa kazi, wasio na elimu au wanaowaza dini muda wote ndio wanaoentertain huu ujinga
 

tuwe na tabia za kujisomea ili tuepukane na kudanganywa na kila mtu jamani,huyo mgeni wenu hana tofauti na wale waganga wa temeke walokamatwa na ch***pi a.k.a kufuli za dada zetu,huku wakipewa tiba kwa kutumia bomba kubwa,mkuu siku moja nilikaa pale nje kwenye jengo la freemason opposite na BOT kuna kijiwe cha kiwi pale,baada ya muda mfupi nilishuhudia akinamama wengi wakiingia ndani ya lile jengo wakaanza kuvutana na mlinzi kwa muda mrefu sana,Baadae wakaondoka nilipomuuliza yule watchman kulikoni alinijibu kwamba eti wale wakinamama walikuwa wameingizwa mjini na mtu huko street kwamba wampe mkwanja kdg ili awaunganishe na freemason ili wawe matajiri then waende makao makuu wakaanze kukinga mkwanja.....loooh nilipata mstuko mkubwa sn....
 
This is more than stupidity, watu wanakaa na kuwaza ujinga muda wote ndo hawa hawa wakiugua hata mafua husema wamerogwa, mchawi wako ni ujinga wako mwenyewe, ndo kakuloga ndo mana mpaka leo maisha kwako ni magum, kazi kushinda vijiweni,
 
Habari za Wacheza Draft..

Oho! Ebwana usitukoroge ndonya wacheza draft ,utapigwa force king bure!Mtoa mada ni pimbi tu kama pimbi wengine na upimbi wake hauhusiani na mchezo pendwa wa draft.yeye haoni uwepo wa mungu anamwona shetani kila mahala!
 
Kumbe ni kweli nchi hii inaongoza kwa ushirikina!!maana naona watu wengi wamejaa mawazo ya kichawi.Ni aibu sana kuwa na mawazo haya kwenye zama hizi
 
je wale wasioamini ktk hayo madhehebu yaliyoletwa na wakoloni na wafanyabiashara( wazungu na waarabu) inakuwaje au huyo mtu anatulazimisha kuwa waumini wa hao jamaa.
 

Aisee watanzania Sjui Nani katuloga! Hao wamama badala ya kukaanga samaki na mihogo wakidhi mahitaji yao wanaota kuoata hela kirahisirahisi tu!
 

Duh!
Hiyo kali. Sikuhizi kila nguzo ya UMEME imeandikwa namba ya simu kuunganishwa na Freemasons. Hata hao akina mama huwa wanachukua namba za simu kwenye hizo nguzo za umeme wanapiga kisha wanatapeliwa. Kwahiyo tusipokuwa makini mama zetu wanaibiwa sana kwa tamaa ya utajiri wabwerere.
 

nimeangalia hiyo video, Nimeamini elimu Muhimu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…