Hoja kuhusu nini...??? Kuna hoja gani kwa mbumbumbu aliyeshindwa hata kujua kuwa tunatumia Mifumo miwili ya majira kusoma nyakati...??
Hata mtoto wa darasa la saba anaelewa hili....Kama unataka kuona hoja niliyotoa rudi page 1 utanisoma....
Ila kama akili yako imeshikwa na mafundisho ya mama White hutaelewa....
Siwezi kuwaacha Wasabato maana haya mambo wanayapenda sana....
Ukitaka kujua Wasabato hawako sawa kasome Hostoria yenu uanzie kina Miller na wenzake, Soma Millerites movement, soma kina Josrph Bates na wenzake njoo malizia na Mama White ndo utaona uozo na maono ya kuzimu ya Wasabato....
Kama unawafahamu na unajua Great Disappointment ilivyotea na jinsi wakina Miller na Bates walivyoua mamilioni ya Wasabato basi utagundua kuwa Wasabato wengi bado hawajakoma...
Bado mnaendeleza ule ujinga wa Kina Miller, Bates na Mama White wa kutabiri maono ya kuzimu.....
Majini makabila yao ni 666...hata walipoanzisha bar-coded reader ilikua kwa makampuni yote yanayomilikiwa na free mason lazima katika bar coded reader ya productz zao utakuta nambari 6-6-6 japo kua hazitaongozana lakini lazima ukute 6 tatu...Hata kofia ya kiongozi wa Katolic imetengenezwa katika muundo wa kupata Muingiliano wa pendeza ya Israil ambayo ndani yake unapat corner sita 666...kwa sababu katholic charch ni kanisa linaloongozwa na freemason...Muniwie radhi wakatolic ila huu ukweli ndo namna ulivyo.....http://littleguyintheeye.files.wordpress.com/2010/01/pope-hex-hat.jpg
https://www.google.co.tz/search?q=6...ot.com%2F2014%2F03%2Fpope-post-8.html;373;288
unajielewa??
freemasons na wasabato ni two different things
mada za usabato zimetokea wapi?
nani kakuambia mi msabato?
mada inasemaje?
uasama wako na dini zingine usinilete mimi?
kama huwajui ka kimya
Huyu mama alijifanya nabii wa wasabato akatabiri mwisho wa dunia ambao nao haukutimiza unabii wake. lakini bado anaaminika ni nabii wa wasabato!! nabii anayetabiri yasiotimia bado ni nabii!!
kanisa katoliki ulilikuta na waliomo watakuwa watakatifu na waliokuwepo watakatifu na utaliacha!! Hizo quotes zako hazibadili chochote!
Najua mkuu ndo namna ambavyo shetani huwapambia watu vitendo vyao viovu wavione kua ni vyema....Mtu kuzuiliwa kuoa/kuolewa ili afikie utakatifu ni jambo lenye mashaka mkuu
mtakatifu ni??
unajua maana ya papacy??
Wewe naona hujielewi kabisa....Naona ume-panic mapemaaa...
Nimekuambia mada za Freemason hupendwa na Wasabato sana....Sihitaji uniambie wewe ni Msabato ila nikisoma unachoandika ni dhahiri shahiri kabisa wewe ni Masalia...
Angalia unavyojikamata....." Wasabato na Freemason hawahusiani".....Kama wewe si msabato umejuaje hamhusiani....Kwanini umekimbilia kukanusha mapemaa.....Kuwa makini..
Mada imeletwa ili mambumbumbu kama nyie mjadiliane....Ila kwa mtu mwenye uelewa hawezi jadili upuuzi...
Wewe unayejua tujuze...!!!
Vipi wewe ni Masalia...??Any way you are pure SDA....
Ngoja niandae uzi wa historia yenu....Naomba uje tujuzane mawili matatu...
kwahiyo unatafuta nini kwenye huu uzi??
jibu maswali yangu kwanza hapo juu
usabato umeanza lini??freemasons je??unajuatofauti zao??
fools talk on personalities not ideas
simpleminds discuss people
Ukisema Tuanze Kupinga Kutumia Vitu Vyao Na Kwa System Zao.. It Means Hata Jf Hutakiwi Kugusa, Au Hiyo Device Yenyewe Unayotumia Hutakiwi Kuendelea Kuitumia... Think Big Like (Rakims)
tumia na kuwa against them japo ipo siku utashindwa kuwaepuka labda kifo au mateso yasiyopimika
Ukiona mtu anatukana basi ujue hoja zimemshinda....Mara nyingi watu kama nyie huwa mnapigana au kete ya mwisho kabisa ili usionekane umeshindwa ni matusi.....Anyway nikawaida...Nafurahi...
Halafu mimi sijamjadili mtu...Hebu onesha mahali nimemjadili mtu...
Ku-panic kubaya sana....