Freeman Mbowe Shujaa wa Demokrasia

Freeman Mbowe Shujaa wa Demokrasia

Mkuu unahamisha magoli

waraka wa chacha wangwe huu hapa

Google Groupes

ukimaliza kuusoma, urudi hapa ufute kauli zako

tumekulia chadema, tukaona kinakufa live....wewe unakikuta makaburini unatambika, wenzako hatuko makaburini...kwa nini kutafuta uzima sehemu ya wafu?

chacha wangwe aliyasema akiwa on fire, on peak, na makamu mwenyekiti!! unasema nini wewe??
Huo waraka mbona chacha wangwe alishaukana mkuu toka akiwa hai natatafuta barua yake niiweke hapa ila mnanishangaza sana afu unajiita mwanachadema hivi ina maana kina bob na zakayo na dotto wangwe hawajui haya hadi waliendelea kuwa wanachadema ila wewe ndio unajua sana kuliko wale

Kwa kukusahisha tu mie nipo chadema toka nikiwa darasa la nne ingawa sikuwa na kadi ila nlikuwa mkereketwa asiyepitwa na lolote kuhusu chadema
 
Kuwa mwanademokrasia Africa ni kazi ya kjjitolea kweli kweli,maana utatafutiwa makosa ya Kila aina,ikiwekana utafilisiwa
 
Tatizo kubwa la Africa na ikiwepo na Tanzania,vyama vyingi vimekubalika Kwa kuchukulia pesa Kwa wafadhili tu,au pengine Kwa Nyerere kufosi,lkn taasisi za serekali hazitaki kabisa mfumo wa vyama vyungi vya siasa
 
Tukiachana na madhaifu ambayo kila mwanadamu anayo ila Freeman Mbowe ni mmoja ya viongozi muhim sana wa upinzani katika historia ya vyama vingi vyama vingine huwa vikipata migogoro ya uongozi au hujuma za chama tawala vinakufa ila CHADEMA imevuka milima na mabonde mengi ikiwemo migogoro ya uongozi na propaganda za kila aina ila imefika kuwa chama kikuu cha upinzani na tishio kwa ccm kwa hayo tu Long live Freeman Mbowe
Hakika
 
Mkuu unahamisha magoli

waraka wa chacha wangwe huu hapa

Google Groupes

ukimaliza kuusoma, urudi hapa ufute kauli zako

tumekulia chadema, tukaona kinakufa live....wewe unakikuta makaburini unatambika, wenzako hatuko makaburini...kwa nini kutafuta uzima sehemu ya wafu?

chacha wangwe aliyasema akiwa on fire, on peak, na makamu mwenyekiti!! unasema nini wewe??
Kimekufa CHADEMA au umekufa wewe Waberoya !!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom