Natumaini wote mtamaliza mwaka salama pamoja na wengine wetu kuanza kuharibiwa kipindi hiki na watu wasiojulikana.
Tanzania ina mashujaa wengi sana ambao ama wamepoteza maisha au kuumia katika harakati za kuleta mabadiliko katika taifa.
Kuna shujaa mmoja ambaye nafikiri ni busara kabla ya mwaka kuisha tutambue nafasi yake adhimu katika ujenzi wa demokrasia hapa Tanzania
Hapa namzungumzia Mh.Freeman Aikael Mbowe.Mwanamapinduzi halisi muwazi asiyekuwa na chuki wala unafiki.Kijana mwenye mawazo endelevu na anayeonyesha kuwa na fikra mbadala ya kupeleka taifa letu mbele.Ni mtu ambaye pamoja na vitisho vingi,manyanyaso mengi,na fedheha nyingi bado amekuwa ni mtu mwenye msimamo na mtazamo wa kipekee.
Freeman Mbowe ndio mwanasiasa pekee ambaye pamoja na ukweli kwamba alitofautiana kimtazamo na mzee Edward Lowasa lakini imani aliyokuwa nao juu ya uwezo hekima ya Mzee Lowasa ulimfanya akubali kusimama mbele ya Watanzania na kusema pamoja na yote huyu ndie anayefaa kuiongoza Tanzania.
Kwa msimamo ule alituonyesha kuwa yeye sio mtu wa visasi na chuki na kwamba anaamini atika uwezo wa mtu na kwamba anaweza kumpa yeyote fursa.
Freeman Mbowe amewapa fursa vijana wengi ndani ya Chadema.Ni katika uongozi wake uliotukuka tumeona vijana machachari na wenye uwezo wa kujenga hoja wakiibuka katika medani za siasa tena bila kujikomba bali ni kwa kuonyesha uwezo wao thabiti.
Freeman Mbowe amekifadhili chama chake kwa kujitoa kwa pekee na kuhatarisha usalama wake na wa familia yake na mali zake lakini bado hakukata tamaa kutokana na imani yake kwamba tanzania bora itajengwa na wenye moyo
Freeman Mbowe anawasilisha mawazo na fikra za wana mageuzi,vijana wa kisasa wenye imani kuwa Tunaweza kuwa taifa la kipekee katika bara la Afrika
Kwa kusema haya napenda nimtakie mwaka mpya mwema ndugu Mbowe na kumwambia kuwa asife moyo wakati wa ushindi u karibu na Mungu yuko upande wake
Aluta Continua
Wasalaam
PBK
Ni njia za kupunguza makali ya mpinzani wako. Propaganda mhimu! Propoaganda ikiingia sawasawa, itaonekana ni kweli.Propaganda za kitoto sana cha kushangaza hata wanaohama chama sijawahi sikia wakitoa hizi lawama ila wanaccm damu damu ndio eti wanajua sana kuhusu mbowe
Mnashangaza
hakika umemaliza mkuu ! kwanza ni kijana wa kuigwa !Tukiachana na madhaifu ambayo kila mwanadamu anayo ila Freeman Mbowe ni mmoja ya viongozi muhim sana wa upinzani katika historia ya vyama vingi vyama vingine huwa vikipata migogoro ya uongozi au hujuma za chama tawala vinakufa ila CHADEMA imevuka milima na mabonde mengi ikiwemo migogoro ya uongozi na propaganda za kila aina ila imefika kuwa chama kikuu cha upinzani na tishio kwa ccm kwa hayo tu Long live Freeman Mbowe
nilikuambia msome chacha wangwe wewe acha ujinga!!Propaganda za kitoto sana cha kushangaza hata wanaohama chama sijawahi sikia wakitoa hizi lawama ila wanaccm damu damu ndio eti wanajua sana kuhusu mbowe
Mnashangaza
Ila katika swala la lowasa nadhani anajua kabisa aliingia cha kike.
Kumsafisha mtu ndani ya wiki 6 ili nchi imuelewe katika nafasi ya urais nikazisana.
Otherwise chadema ingekuwa mblisana leo,hatakama asinge patikana rais lakini idadi ya wabunge ingeongezeka sana na chama kingekuwa na nguvu kubwa tu.
Acheni utoto huyo chacha wangwe akiwa bungeni aliahidi bunge linalofuata angeleta data kuhusu balali tuliokuwa tumeaminishwa kuwa amefariki dunia....... kilichotokea wote tunajua cha kushangaza maCCM mnakazania kuwa mbowe alimfanyizia ndio maana nikasema imashangaza wanaccm kujifanya wanaijua chadema kuliko wanachadema wenyewe..... Yaani wote waliokimbia chadema hawakuwahi sema huu upuuzi sio Dr slaa sio zitto sio arfi wala mwigamba eti ila waberoya ndio anajua sana kuwa mbowe alimmaliza wangwe so suprising!!!nilikuambia msome chacha wangwe wewe acha ujinga!!
Acheni utoto huyo chacha wangwe akiwa bungeni aliahidi bunge linalofuata angeleta data kuhusu balali tuliokuwa tumeaminishwa kuwa amefariki dunia....... kilichotokea wote tunajua cha kushangaza maCCM mnakazania kuwa mbowe alimfanyizia ndio maana nikasema imashangaza wanaccm kujifanya wanaijua chadema kuliko wanachadema wenyewe..... Yaani wote waliokimbia chadema hawakuwahi sema huu upuuzi sio Dr slaa sio zitto sio arfi wala mwigamba eti ila waberoya ndio anajua sana kuwa mbowe alimmaliza wangwe so suprising!!!
Hivi kma angemuua chacha au kumfanyia visa je kivp mke wa wange mrs dotto pamoja na mwanaye zakayo wangekuwa bado chadema??? Inaingia akilini kweli???
Waberoya umeanza kufilisika hoja sio yule wa 2011
Acheni utoto huyo chacha wangwe akiwa bungeni aliahidi bunge linalofuata angeleta data kuhusu balali tuliokuwa tumeaminishwa kuwa amefariki dunia....... kilichotokea wote tunajua cha kushangaza maCCM mnakazania kuwa mbowe alimfanyizia ndio maana nikasema imashangaza wanaccm kujifanya wanaijua chadema kuliko wanachadema wenyewe..... Yaani wote waliokimbia chadema hawakuwahi sema huu upuuzi sio Dr slaa sio zitto sio arfi wala mwigamba eti ila waberoya ndio anajua sana kuwa mbowe alimmaliza wangwe so suprising!!!
Hivi kma angemuua chacha au kumfanyia visa je kivp mke wa wange mrs dotto pamoja na mwanaye zakayo wangekuwa bado chadema??? Inaingia akilini kweli???
Waberoya umeanza kufilisika hoja sio yule wa 2011
BASI sawa hizo ni sifa zako zichukue tu /////////////Acha ulofa mkuu sifa sio za mbowe hizo.