Freeman Mbowe naomba usistaafu siasa 2018

Kama alivyo poteza muelekeo mkwere baada ya magu kuingia magagoni na sasa siri zote zinaanikwa hadharani mchana kweupeeeeee
Siku zote huwa nasema,chadema inaangamia kwa kukosa maarifa,JK hatagombea uraisi tena....msipigane na kivuli.
 
Upinzani unahitaji fikra mpya. Slaa aanzishe chama.

Mind myopia ni hatari sana, huyu mbowe kama ni kiongozi bora siangeandaa vijana wa mrengo wake? Sisi wote tunajua time is limited, hivyo kuna haja ya kuandaa mbegu bora ya baadae. Mawazo ya MTU mmoja hayawezi kuwa msaada wakati wote, kwa maana hiyo tunahitaji fikra mpya na uongozi mpya ambao utafanya mambo kwa uwazi. Kwa kusema Haya mnaweza kufikiri na kusema Mimi ni mwanaccm,siwazuii ila tuache ukweli utamalaki. Ni kwanini mapato na matumizi ni siri kuu, kwanini ruzuku itumike makao makuu kusiko na wanachama? Nakuwaambia makatibu wa kata,wilaya/majimbo na mkoa kuwa pesa hakuna? Ni lini upendeleo wa ujengaji chama(vifaa na fedha) utakuwa sawa nchi nzima?
Mgawo wa viti maalum vya ubunge imekuwa mwenye kingi kuongezewa, kuna eneo wabunge wakuchaguliwa ni wengi na wanaongezewa wa viti maalum, kwa fikra rahisi ilikuwa ni lazima kuteua wengi kusiko na upinzani ili kuleta vuguvugu la mabadiliko kuliko kuwatenga kabisa.
Nafikiri ni sawa mbowe astaafu.
 
Dr.Mbowe alishamuuzia Chadema Lowassa pamoja na nyumbu wote ndiyo maana siku hizi ofisi za Chadema zipo Masaaki kwa Lowassa.
 
Kipindi kingine cha uongo. Muda ukifika atasema mwenyewe.
 
 
Victor
Kama unamenda sana MBOWE nenda kwake kamfulie / kampikie ,toteleea shudu zako hapa kwenye uzi
Hizi sio kauli za kujenga.. Lete mawazo tumshauri Mr chairman aendelee kuongoza jahaz

Kuna mdau hapo juu kasema nyerere aliongoza ccm kwa zaid ya miaka 23 ili tu kukijenga na kukua
 
Kama kikwete aliweza kuwa Rais wa Tanzania
Sugu anaweza kuwa mwenyekiti bora kabisa
 
Mkuu huu mchezo hauitaji hasira
Acha kutoa mishipa
Mwerevu hawezi kutunga story hizi na wenye akili wakakuamini
Ayatollah ni pandikizi toka familia ya kikwete kupitia vijana wake kina February na mwigulu
 
Mkuu huu mchezo hauitaji hasira
Acha kutoa mishipa
Mwerevu hawezi kutunga story hizi na wenye akili wakakuamini
Ayatollah ni pandikizi toka familia ya kikwete kupitia vijana wake kina February na mwigulu
Pandikizi mtu aliyewapa umaarufu. ZZK. Hamna stori ya kutunga hapo juu kijana,wewe shupaa watu wanakula maisha kwa ruzuku.
 
 
Hii ni tetesi haswaa!

Kwamba chama amekikuza kwa 85%, unapenda amalizie hiyo 25%! Dah ama kweli ni Tezi la tetesi! Shule zingine hizi jamani!!!!
Umeona Hilo tu

Kwa hiyo ndio unahisi mimi ninaweza kufanana na wewe kufikir
Bora uongee mengine brother usimdharau usiemjua tena nyie mnaojifanyaga mnamjua mmetokea kwenye dhiki ya kutupwa
 
Mkuu kujenga afisi sio kipaumbele cha Chama

Kipaumbele ni kutoa uraia kwa mwananchi aweze kijitambua na kujielewa
Chadema inawanachama ziadi ya million 6 bado washabik bila kutoka elimu ya Uraia wanachama wasingefika hata million

Sawa na kumpa mtoto wako pesa afanye biashara wakati hajaitimu hata shule ya msingi, that's the worst of money
 
Pandikizi mtu aliyewapa umaarufu. ZZK. Hamna stori ya kutunga hapo juu kijana,wewe shupaa watu wanakula maisha kwa ruzuku.
You can't be serious
Ayatollah aipe umaarufu chadema kwa Dr slaa ningekubali kuwa anamchango wake

Ayatollah anamchango bungeni kabla ya kuhadaiwa na pesa.... Na mchongo ulikuwa ni kujenga jina Lake sio taasisi ya chadema
 
Mie nashauri atumie busara aachie wengine waje na mawazo mapya mambo aliyoyafanya ni mengi na makubwa ni wakati muafaka akabaki kama mshauri tu
 
Ulikimbia hesabu. Hebu rudia upya

Nusuhela,
Naona huyu jamaa hesabu alipata sifuri yenye masikio!Anampongeza Mh.Mbowe kwa kufanikisha CHADEMA/UKAWA kwa 85% halafu anamsihi asistahafu ili amalize 25% iliyobaki! Hesabu sahihi ni 100-85 inabaki 15%.
Lakini niseme kuwa Mh. Mbowe ni mwanasiasa mahiri,mweledi, mwenye maono na mikakati mipana sana!Ni bakhti mbaya sana nchi hii haina Demokrasia ya kweli vinginevyo CHADEMA/UKAWA wangelikuwa Ikulu kwa sasa kama siyo rafu za CHAMA CHA MAJIPU-CCM kwa Uchaguzi wa 2015!
CCM wanalijua hili hata JPM analijua hili!
Wasalaam.
 
You can't be serious
Ayatollah aipe umaarufu chadema kwa Dr slaa ningekubali kuwa anamchango wake

Ayatollah anamchango bungeni kabla ya kuhadaiwa na pesa.... Na mchongo ulikuwa ni kujenga jina Lake sio taasisi ya chadema
Tehe tehe! Mbowe amewauza kwa EL kavuta chake. Si unajua Pombe atachomoka 2025,2025 tunawapiga mpaka 2035. Endeleeni kula ruzuku na SACCOS yenu. EL atasimama tena 2020 anahisi alikosea padogo! Elimu.. Elimu ... Elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…