Freeman Mbowe naomba usistaafu siasa 2018

Victor
Kama unamenda sana MBOWE nenda kwake kamfulie / kampikie ,toteleea shudu zako hapa kwenye uzi
 
Kwanza kabisa wee ni mbowe unajipigia promo, KUSTAAFU KUKO PALE PALE, wanachama wanajua hilo.
Pili, yaani mleta mada ktk watu wenye sifa ya kuwa mwenyekiti wa chadema na sugu pia ana sifa?? Kweli nyie bado!
Tatu, unathubutu kabisa kusema mbowe sio mnafiki na sio muongo, unajua maana ya kuaminisha umma kuwa fulani ni fisadi kisha kubadilisha mawazo baadae? Huo ni UNAFIKI na UONGO uliopitiliza.
Acha kumpigia/ kujipigia promo. Mbowe kaexpire ya amebaki na siasa za matukio na chafu. Hafai hata kuwa kichwa cha familia.
 
Hapa nchini au Canada?
Kwani Mtei alipoanzisha hicho kitega RUZUKU alianzishia Canadai? Mbowe ni mkwe wa Mtei na hiyo ni taasisi yake. Mbowe ametengua katiba ya ili aendelee kuongoza. Zitto alipotaka uenyekiti akafukuzwa. Zitto kwa weledi wake wa uchumi alitaka hesabu za ruzuku zikaguliwe,Chama kikataka akitonye. Mbowe hawezi staafu maana alishatengua katiba ya chama ili aendelee kuwa Mwenyekiti milele. Aeleze Lowasa alileta shilingi ngapi na ripoti za ukaguzi wa kujitegemea zitoke. Ruzuku ni mali ya watanzania.
 
Hayo yooote mimi siku ya hitaji nime uliza swali fupi sana kutokana na pendekezo lako kuwa Dr.Slaa aanzishe chama pengine nataka nijiunge,Slaa kesha yeya yuko Canada kahamishia makazi huko nikitaka tu kujua Chama hicho aanzishie wapi? hilo tu.
 
HUO UDAKTAR FREMAN MBOWE KAPEWA NA NAN?? NA NI COMRADE WA KITU GAN MKUU..
 
Hayo yooote mimi siku ya hitaji nime uliza swali fupi sana kutokana na pendekezo lako kuwa Dr.Slaa aanzishe chama pengine nataka nijiunge,Slaa kesha yeya yuko Canada kahamishia makazi huko nikitaka tu kujua Chama hicho aanzishie wapi? hilo tu.
Dr. Slaa ni mtanzania,hiyo tuu inampa haki ya kuanzisha chama. Mbowe familia yake ipo ughaibuni,ila mwenyekiti wenu. Anaenda kutembea anarudi. Dr. Slaa yupo Canada mapumzikoni kama Mbowe anavyoenda kila uchao! Kuna ubaya?
 
Haya Muungwana natu msubiri huyo Dr. Slaa amalize hayo mapumziko japo sijui ame choshwa na nini.
 
Haya Muungwana natu msubiri amalize hayo mapumziko japo sijui ame choshwa na nini.
Dr. Slaa fikra zake zinahitajika sana katika mageuzi. Ndio maana tunanshauri aanzishe chama chake. Dr. Slaa ndiye aliyeibua na kuiishi ajenda ya ufisadi na Chadema ukaheat. Zitto na Dr. Slaa wanajasho lao kwenye mageuzi ya nchi hii.
 
Oh! sawa sawa ila nahisi mabadiliko katika uandishi wako kadri muda unavyo pita naona kuna lafudhi ya kimakonde imesha ingia 'tunanshauri' na mengineyo, sisemi kama ni viroba la hasha otherwise nime kuelewa,naomba tu nikutakie usiku mwema.
 
sasa si mwache unafiki wa kujiita chama cha DEMOKRASIA, kwa sababu mwenyekiti wenu ni dikteta hataki kuachia madaraka kwa wengine.
 
Sijaielewa hii mada, CDM ni mali ya familia yake ataiachaje?
 
Lubuva hatokaa asahaulike kwa pande zote mbili yaani mnyang'anywa na aliye faidika
 
Daaa umenikumbusha inzi wa kijani,utotoni mwetu tulikuwa tuna muita inzi wa kizungu kumbe huyo ndiye mkuu wa mainzi wachafu duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…