Freeman Mbowe mwana CCM aliyejivika UCHADEMA

Kwa nyakati tofauti Kiongozi wa Upinzani Tanzania alikuwa akiongoza mapambano yakimkakati katika kulikomboa Taifa, kiongozi alionesha nia ya dhati kupiga vita Ufisadi, Matumizi Mabaya ya Serikali, Uwajibikaji maofisini na mengine mengi.

Baada ya tuhuma za Ugaidi sio kwakushinda kesi bali kwa msamaha maalum, kiongozi huyu amebadili dhamira ya kulikomboa Taifa sasa wameungana pamoja kuisimanga Serikali iliyopita wakijiapiza kwa kauli ya ''Never, never and never again.''

Kwa sasa vita sio ufisadi wala ukosefu wa ajira au labda matumizi mabaya ya fedha, vita imegeuka kwa Hayati Magufuli.

CCM ni vibaka, ukaribu nao unahalalisha na wewe ni kibaka vilevile. Comeback Mbowe.
Unakosea unapomtetea Magufuli kwa makosa mengi sana aliyofanya.
 
Wapumbavu mnazidi kuongezeka duu
 
Back
Top Bottom