kwa mujibu wa ARUSHA MAMBO ni njia ya matangazo kwa sms ni kwamba mbowe alikuwa maeshinda ila mgombea wa ccm alikuwa amekataa kusaini matokeo na sasa wamethibitisha kuwa kakubali kusaini hivyo baaa ya kukubali kusaini kifywatacho itv ni kutangazwa kwa mbowe kuwa mshindi
Habari ndiyo hiyo. Hakika Mungu akiamua kukubariki hakuna atakayezuia. CHADEMA JUUUUUU. Tatizo CCM waliimba kuwa wamezaliwa kushinda, sasa matokeo haya yanafundisha kuwa cheo ni dhamana.
Bigup sana Freeman. Mungu akabariki mipango yote mema kwa ajili ya CHADEMA na jimbo la Hai.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.