Elections 2010 Freeman Mbowe mbunge mteule HAI

Status
Not open for further replies.

kinya

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
495
71
kwa mujibu wa mlimani tv mbowe ameshinda tumeishatangaza. pipozzz power
 
Iringa Mjini
Arusha Mjini
Meatu
Maswa Magharibi
Maswa Mashariki
Moshi Mjini
Musoma Mjini
Ilemela
Nyamagana
 
Source plzzzzzzzzzzzzzzzz

kwa mujibu wa ARUSHA MAMBO ni njia ya matangazo kwa sms ni kwamba mbowe alikuwa maeshinda ila mgombea wa ccm alikuwa amekataa kusaini matokeo na sasa wamethibitisha kuwa kakubali kusaini hivyo baaa ya kukubali kusaini kifywatacho itv ni kutangazwa kwa mbowe kuwa mshindi
 
Habari ndiyo hiyo. Hakika Mungu akiamua kukubariki hakuna atakayezuia. CHADEMA JUUUUUU. Tatizo CCM waliimba kuwa wamezaliwa kushinda, sasa matokeo haya yanafundisha kuwa cheo ni dhamana.
Bigup sana Freeman. Mungu akabariki mipango yote mema kwa ajili ya CHADEMA na jimbo la Hai.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom