Freeman Mbowe Kutikisa Sherehe za Ruto

Huko Kenya wala hawajui Mbowe ni raia wa nchi gani, wala hawajui sura na shughuli zake, acheni ku publicize ur own news kwenye gazeti lake Mbowe alafu mnatuletea pumba humu, no one knows Mbowe at all in Kenya, kama hujaelewa, kaelewe huko
Sasa kama hawamjui wewe unalia kwa sababu gani? Basi wana kujua wew Jay One,haya umefurahi sasa?
 
Uko sahihi.
 
sitoshangaa akipewa nafasi ya kusalimia umma wa kenya akisema ametumwa na rais samia kuja kumwakilisha. si unajua tena siasa zetu za east africa.
Hahaha....ametumwa na Kamati Kuu ya Chama makini
 
Mh Freeman is an exception Political Leader in our todays time.
 
Vipi huyo Mbowe kaishia wapi? Au alisahau begi la viatu Airport?Hakuna anayemfahamu Mbowe huko Kenya Zaid ya hapo ufipa tu
 
Umetudanganya.
 
mm naona kuna haja ya kuanzishwa chama makini ambacho kitakuwa na watu makini kama akina Ruto ili kutuvusha 2025 kuliko hivi tulivyo navyo sasa hivi.
 
Kumbe huyu ndiye Mbowe aliyetabiriwa na nabii mkuu Erythrocyte
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…