Freeman Mbowe kawauza CHADEMA bila haya

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,944
Reaction score
3,090
Wakati CCM ilikuwa ilikuwa imeshashikwa pabaya kiasi cha kunyimwa msaada wa dola mil 8 kutoka EU kwa kigezo cha CCM kufinya uhuru wa vyama vya upinzani CCM wajiongeza kwa kumualika Mwenyekiti aliyehudumu kwenye chama husika kwa zaidi ya miaka ishirini kujiunga nao meza kuu .

Kikwete akashindwa kuvumilia akajikuta anampongeza Kitila kwa ushindi ule ,lile lilikuwa ni bonge la tobo , pale Chadema wapende wasipende maana yake wamehesabika kama wamehudhuria kikao na aliyewawakilisha ni Mwenyekiti wao mstaafu aliyedumu kwenye chama kwa zaidi ya miaka 20 na alivyomaliza akaongea na waandishi wa habari juu ya kilichompeleka nikufanya fallow up ya maoni waliyokuwa wameyapendekeza kama chama ,(hii inamaanisha kuwa yeye alikwenda kwa niaba ya chama na siyo mtu binafsi) dadadeeki CCM wanahesabu za mbali nihatari .

...dah! Mwamba K kinyaama aisee .

Lengo la CCM pale lilikuwa ni moja tu, nikuionyesha Dunia kuwa Chama tawala na chama kikuu cha upinzani wanashirikiana kwa ukaribu sana .
hitaji la CCM pale lilikuwa ni picture tu ili kuithibitishia Dunia kuwa tupo pamoja hivyo kuyasihi Mataifa fadhiri siyo tu wawape pesa bali waendelee kuitambua CCM kama chama kjnachoiishi Demokrasia kwa vitendo hivyo wasipumbazwe na Hawa wapiga kelele wamitandaoni .

Alichokifanya
 
MBOWE ni Msaliti kama Yuda Eskarioti
 
Chama kilichojaa majinga km hili zombie ndiyo ishinde na kushika dola?
 
Uchafu ulioandikwa na bonge la kilaza
 
Kama nguvu ya chama ipo katika uongozi na wanachama wengi, kwa nini kushutumu mwanachama mmoja tena asiye kiongozi kushiriki shughuli ya kitaifa?
 
Siasa za waliokata tamaa kutegemea EU, wamerudia matapishi waliyoyatapika mababu zetu
 
Ulichoandika hapa ni kama vile hao EU hawana akili...
 
Hivi wewe unadhani wazungu ni wajinga na wanawaza kwa kutumia makalio kama wanavyo waza ccm!? Wanajua kila kitu hao hawahitaji hata maigizo ya kitoto kama hayo.
 
uwezo wa ubongo wako kufikiri ni mdogo sana
 
Kajiuza mwenyewe
 
Dunia hii ambayo wawakilishi wake kila siku wanahudhuria kesi ya mchongo ya uhaini aliyobambikiwa Lissu au kuna dunia nyingine? CCM wanachofanya ni sawa na kupiga punieto tu , wanajidanganya wenyewe.
 
Unandika utotot. Is Mbowe a leader in chadema? Who is the chairman of chadema? Is the chairman free? msiwe mnongea/kuandika rubbish!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…