justine lowasa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 727
- 794
tatizo la CHADEMA ni Mbowe!Mbowe sasa kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani TZ anafanya nn kusimamisha hotuba hizi za kipuuzi za Rais?
Mbona hachukua hatua yyt ile na yy analalamika kama sisi tu?
Magufuli anatakiwa ajutie kauli hizi lkn zinapita kimywa kimywa
CHADEMA imekufa aisee!
utakiitaje?Chama cha Posho na Ruzuku=CPR?Aisee naazisha chama, huu upuuzi wa upinzani hauvumiliki
wazo zuri,hongera mkuu!Mbowe awaombe upya watanzania,wachangie bati hata katika hali hii ambayo jahazi la tanga haliwezi kwenda kwa kukosa upepo,maana tayari Bukoba ni kambi ya UKAWA.
Fata nyayo uchane msamba.Aisee naazisha chama, huu upuuzi wa upinzani hauvumiliki
Kabla ya kuanzisha wasiliana kwanza na Zitto akueleze uhai wa ACT wazalendo.Aisee naazisha chama, huu upuuzi wa upinzani hauvumiliki
Lumumba bwana, vipi akili ya mtu aliyetoa kauli zisizo na staha kwa wafiwa kwenu poa tu?Hivi siku hizi akili ya mbowe inarudi nyuma au ndiyo imefika mwisho wa kufikri?
Hata atolee uvunguni lakini kauli moja tu imewakurupusha wote wa Lumumba, leo watajazana hapa.SIKU HIZI AITISHI PRESS CONFERENCE??????hii kauli yake juu ya JPM alitamkia wapi???? Me nahisi aliitamkia UVUNGUNI mwa kitanda MAANA tunamtafuta kweli atuambie BEN yupo wapi?????hivyo moja kwa moja HAWEZI KAMWE ITISHA press conference kwa sasa ATAKUWA anatolea MATAMKO toka UVUNGUNI......daaah aiseeh hii si CHADEMA tuliokuwa tunaifahamu.....JPM wewe balaaa
Karibu CIVIC DEMOCRATIC ALLIANCE PARTY.=CDAPAisee naazisha chama, huu upuuzi wa upinzani hauvumiliki
Mbowe msaada wake uliwasilishwa na Lowassa kwa kutoa mifuko 400 ya saruji kwa ajili ya kuboresha miundombinu iliyoharibiwa na tetemekotatizo la CHADEMA ni Mbowe!
Toa Mbowe,weka Lema au Lissu hapo juu!
utakiitaje?Chama cha Posho na Ruzuku=CPR?
wazo zuri,hongera mkuu!
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
Huwezi kiita act ni chama cha upinzani bali cha siasaKabla ya kuanzisha wasiliana kwanza na Zitto akueleze uhai wa ACT wazalendo.