Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
Walimu ni fursa Kwa mifisiemu inawatumia kuiba kuraChadema nao washajua walimu ni fursa [emoji23][emoji23][emoji23]
CCM inawaona waalimu ni matutusa!!Chadema nao washajua walimu ni fursa 😂😂😂
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hua nawaonea huruma sana rafiki zangu waalimu unakuta kuku anatamia analala nae chumba kimoja.
Hicho tu ndiyo umeona cha maana alichoongea Mbowe?Watumishi wa umma wakiwemo jeshi la polisi wana changamoto nyingi ikiwemo kukosekana kwa makazi bora, hali inayoathiri weledi na ufanisi wao wa kazi.
Moja ya vipaumbele vya CHADEMA pale itakaposhika dola ni kuboresha maisha ya watumishi wa umma wakiwemo polisi na walimu.
Ziara yangu ya mikutano ya hadhara Kanda ya Ziwa pamoja na kutukutanisha na wananchi, imetupatia nafasi ya kuyajua kiundani changamoto lukuki ambazo miaka zaidi ya 60 ya uhuru watawala wa CM wameshindwa kuyatolea ufumbuzi.
Freeman Mbowe
===
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Mbowe, Lissu na wanachadema wote wapambanaji, maisha ya walimu ni umasikini sugu zaidi ya kutu. Inahitaji viongozi wa kuwakomboa.
Hayo ndiyo ya kuongea upinzani. maisha ya kila mwananchi kuimarishwa.Watumishi wa umma wakiwemo jeshi la polisi wana changamoto nyingi ikiwemo kukosekana kwa makazi bora, hali inayoathiri weledi na ufanisi wao wa kazi.
Moja ya vipaumbele vya CHADEMA pale itakaposhika dola ni kuboresha maisha ya watumishi wa umma wakiwemo polisi na walimu.
Ziara yangu ya mikutano ya hadhara Kanda ya Ziwa pamoja na kutukutanisha na wananchi, imetupatia nafasi ya kuyajua kiundani changamoto lukuki ambazo miaka zaidi ya 60 ya uhuru watawala wa CM wameshindwa kuyatolea ufumbuzi.
Freeman Mbowe
===
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Mbowe, Lissu na wanachadema wote wapambanaji, maisha ya walimu ni umasikini sugu zaidi ya kutu. Inahitaji viongozi wa kuwakomboa.
CCM inawaona waalimu ni matutusa!!
Walimu ni fursa Kwa mifisiemu inawatumia kuiba kura
Akili ya MaCCM ni matope kweli, Kwani Mbowe alikiwa anakusanya Kodi? Mbowe alisemea sana haya mambo Ili maCCM yanayokusanya Kodi hayasikii ni ufisadi na kuuza Mali za imma. Uzeni na mlima Kilimanjaro mkimaliza bandari.Mbowe alikuwa mbunge wa Hai kwa miaka 15, changamoto za walimu wa Hai ni kama za wa kanda ya ziwa Leo watu wanalaghaiwa kwamba mikutano ya kanda ya ziwa imewafanya wazijue changamoto za huku wakati akiwa Hai hakufanya lolote. Aibu hii
Kawaulize Walimu mipesa wanayokula sasa. Na wameahidiwa kila mwaka kuongezwa.CCM inawaona waalimu ni matutusa!!
Symbol of hope, transformation and new beginnings
Oya we ticha nini afu kweli eti [emoji23][emoji23][emoji23]Hua nawaonea huruma sana rafiki zangu waalimu unakuta kuku anatamia analala nae chumba kimoja.
Ni sawa na kuahidiwa utaletewa samaki, ukapika ugali kabisa.Watumishi wa umma wakiwemo jeshi la polisi wana changamoto nyingi ikiwemo kukosekana kwa makazi bora, hali inayoathiri weledi na ufanisi wao wa kazi.
Moja ya vipaumbele vya CHADEMA pale itakaposhika dola ni kuboresha maisha ya watumishi wa umma wakiwemo polisi na walimu.
Ziara yangu ya mikutano ya hadhara Kanda ya Ziwa pamoja na kutukutanisha na wananchi, imetupatia nafasi ya kuyajua kiundani changamoto lukuki ambazo miaka zaidi ya 60 ya uhuru watawala wa CM wameshindwa kuyatolea ufumbuzi.
Freeman Mbowe
===
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Mbowe, Lissu na wanachadema wote wapambanaji, maisha ya walimu ni umasikini sugu zaidi ya kutu. Inahitaji viongozi wa kuwakomboa.
Huna hoja Kaa kimya!!, nyumba za walimu ndokuboresha maisha ya walimu??. Hapa ubora unaosemwa ni pesaHayo ndiyo ya kuongea upinzani. maisha ya kila mwananchi kuimarishwa.
Siyo kutupigia kelele za kubaguzi za kijinga.
Naona Mbowe anaanza kutia akili baada ya Wambura kutowa onyo.
Sasa aje na sera, atafikiaje huko, siyo porojo bila ufumbuzi.
Ameona bajaeti sasa imeelekezwa kunyanyuwa viwango vya maisha ndiyo anataka kuzibaka sera za CCM.
Nyumba za walimu na mabweni ya wanafunzi tayari zipo kwenye bajeti, aisome bajeti asilete longolongo.
Vishikwambi au makopo? Siku mwalimu akiwa na pesa basi hapatakuwepo mtu masikini Dunia hiiKawaulize Walimu mipesa wanayokula sasa. Na wameahidiwa kila mwaka kuongezwa.
Unajuwa Mwalimu wa Tanzania anafundisha kwa kompyuta? Mwenyewe mama aliyewapa anaviita "vishikwambi".