Haki ya kuandamana, hasa ya wapinzani. Polisi kuzuia maandamano bila hata taharifa ya kimaandishi, kukamatwa kwa wabunge bila hata kibar cha spika. Unafiki wa polisi kuonea wabunge wa upinzan, huku wabunge wa ccm wakiombewa kibali kama mbunge wa mwanza aliyehusika kupanga mauaji ya mwenyekiti wa ccm mwanza
Mimi nimeshaga toka huko siku nyingi na kula kitu cha KUSH kodi yake ni kujificha makarao wasikurukie.Analalamika juu ya kupandishwa kwa kodi ya vileo na sigara, anauliza watanzania wafanye starehe gani?
kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni freeman mbowe amewaonya wabunge wanaokejeli maandamano ya chadema kwa madai kuwa yanalenga kuvuruga amani, badala yake amevitaka vyama hiyo kujipima kukubalika kwake kwa wananchi. Aidha amesema huenda vyama hivyo vinahofu ya kupata waandamanaji.
Source: Bungeni dodoma
Katiba mpya haki ya kuchangia. Maandamano ya wananchi, upotoshaji wa maandamano kupitia kwa watu wa dini, baadhi ya vyama vya upinzan, magazetin, bungen, kwa kisingizio cha aman. Kila chama kijipime kwa wananchi kukubalika kwao na sio kwa kukujeli cdm. Uchaguz wa spika toka kwa kwenye chama, utaratibu ubadilishwe. Amemaliza kusoma tahari.
@ mr rocky. Wameshachua umeme wao
Namuona Zitto hapa jamvini muda huu, hebu mlio kwenye runinga tusaidieni yumo ndani bungeni ama hayupo? Ina maana anaangalia mtandao ndani ya bunge ama amekacha hotuba ya bosi wake??
There are currently 97 users browsing this thread. (41 members and 56 guests)
- bibikuku
- kitungi
- Muangila
- mwana wa mtu
- magessa78
- Donyongijape
- Stany
- Dr wa ukweli
- Frank lwakatare
- 123
- Lawkeys
- kishoreda
- Vakwavwe
- VIKWAZO
- Mnwele
- Namtambo
- Kwayu
- never
- MZALENDOMKUU
- CPA
- meddie
- muhimili
- Mburahati
- Mzee Dogo
- REBEL
- Edson Z. M
- The Priest
- Ndibalema
- lyimo
- mkonowapaka
- Pierre King
- tzjamani
- Rejao
- Ibra Mo
- tatizomuda
- Zitto
- mlaizer
- MARQ
- TumainiEl
- mwakabana
- bulunga
Kweli kabisa aisee!nashangaa tuna ambiwa anacho tumia badala ya anacho sema,ushabiki ni utumwawa ajabu sana