Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

Jamani, CHADEMA wamedhamiria kuliokoa taifa. Mbowe sasa hivi anawasilisha na kudadafua UFISADI balaa ndani ya uongozi wa maeneo mbalimbali ya serikali ya CCM
 
nashangaa tuna ambiwa anacho tumia badala ya anacho sema,ushabiki ni utumwawa ajabu sana
Mkuu bora umenena yaani huku hatuna umeme tunategemea JF lakini cha kushangaza wenzetu wanao pata fursa hiyo ya kutazama hawatujulishi
 
ebana nimekubali hyo technology, hivi mtoto wa mkulima anaweza kutuimia kweli?
 
Wanaharamu(Tanesco)washakata tayari!!Eti mpango wa miaka mi5 bila umeme!!
 
Mbona yale yale tuliyoyazoea? hana jipya?
 
Hatuna haja yakutumia mikaratasi kibao tunajaza uchafu tu. Híi inasaidia pia kubana matumizi. Kila mmoja amiliki ccm bwana wanatupotezea muda sana. Peoples power
 
Back
Top Bottom