Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,380
- 286,536
- Thread starter
- #21
Mkuu jikite kwenye mada , huwezi kumchukia Mbowe ukafanikiwa , wengi waliojaribu kumchukia wamekufaMwamba gani ameshindwa hata kukarabati ofisi? Ofisi utafikiri pagala linalokaliwa na mifugo? Yeye anachojuwa ni kukidai tu chama chake kila uchaguzi ukiisha