Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
This is a very logical but biased analysis. Hofu hii ya tuzo kuchafuka kutokana na jina la mwenye tuzo kuchafuka ipo; ndio maana taasisi nyingi huchagua majina ya hayati katika tuzo. Lakini tunaweza pia kumpima mtu kwa muda aliyoishi mpaka wakati huo maamuzi yanapofanyika.
Naamini vijana wa Mikoa mingine wanapaswa kuiga mfano huu wa Mkoa wa Kinondoni ambao Mwenyekiti Mbowe ni mmoja wa wakazi wake mathalani mkoa wa Mara unaweza kuanzisha Tuzo ya Ujasiri ya Chacha Wangwe.
JJ
Masatu suala la shule halina wakati, labda huko kwenu mlipangiwa msome muda gani, nani amekwambia elimu ina mwisho? Huoni kwa wenzio wasomi wa hali ya juu na wale moderate walivyoshirikiana kuendeleza nchi zao. Huoni ile combination ya Lula kule Brazil, yule kondakta wa basi kule Uingereza alivyoumudu uwaziri Mkuu, kule China yule mzamiaji ufaransa (mbeba maboksi = Deng Xiaoping) alivyorudi kwao China na kuibadilisha China tunayoiona leo? Mifano ni mingi. Let them work. Upo right kwenye haya ya demokrasia na power grabbing labda haya inabidi watuambie.Bavicha kabla kuwa na uthubutu wa kutoa award za Uhuru na blah blah zingine waanze na kusafisha nyumba yao kwanza kwa kuheshimu matokeo ya uchaguzi wao wenyewe. Mnataka kufanya makubwa wakati demokrasia mnaibaki mchana kweupe.
Halafu huyo mwenye jina la hiyo award ndio ovyoo kabisa, hana cha kutoa mfano kwa so called vijana labda hilo jina lake tu. Mtu alieshindwa shule atapewaje jina la award yenye hadhi kama hiyo.
Na wewe Mnyika umekimbia shule huwezi kuwa mfano kwa hao vijana. Yaani hiyo Bavicha mambo ni shaghala baghala tu.
Bavicha kabla kuwa na uthubutu wa kutoa award za Uhuru na blah blah zingine waanze na kusafisha nyumba yao kwanza kwa kuheshimu matokeo ya uchaguzi wao wenyewe. Mnataka kufanya makubwa wakati demokrasia mnaibaki mchana kweupe.
Halafu huyo mwenye jina la hiyo award ndio ovyoo kabisa, hana cha kutoa mfano kwa so called vijana labda hilo jina lake tu. Mtu alieshindwa shule atapewaje jina la award yenye hadhi kama hiyo.
Na wewe Mnyika umekimbia shule huwezi kuwa mfano kwa hao vijana. Yaani hiyo Bavicha mambo ni shaghala baghala tu.
Masatu suala la shule halina wakati, labda huko kwenu mlipangiwa msome muda gani, nani amekwambia elimu ina mwisho? Huoni kwa wenzio wasomi wa hali ya juu na wale moderate walivyoshirikiana kuendeleza nchi zao. Huoni ile combination ya Lula kule Brazil, yule kondakta wa basi kule Uingereza alivyoumudu uwaziri Mkuu, kule China yule mzamiaji ufaransa (mbeba maboksi = Deng Xiaoping) alivyorudi kwao China na kuibadilisha China tunayoiona leo? Mifano ni mingi. Let them work. Upo right kwenye haya ya demokrasia na power grabbing labda haya inabidi watuambie.
They worked very hard and they want to destroy what they achieved in a decade of building their party!
Mkuu Chuma, najua swali hilo lazima wanajiuliza wengi... Hapo ndo tunapomwitaji Mnyika kwa ufafanuzi wa mambo kadha wa kadha!
Ikiitwa Chacha Wangwe na kuitwa Freeman Mbowe tofauti ni moja kwamba mmoja katangulia mbele za haki na mwingine yuk lakini bado tuzo itatolewa iwe na Mbowe ana yeyote ndani ya Chadema . Hapa asiyetakiwa kwa uharaka wangu wa kuona mambo ni Mbowe maana hapa jamvini kuna watu siku hizi ni Mbowe , Zitto , Chadema na hata ustawi wa Chama hakuna tena .So JJ fikirieni tena bwana muone kipi bora mjiandae na kujibu hoja na sijaona la kutukuza . Mo ana tuzo yake hapa Africa wanapata ama wana kosekana je anatukuzwa MO ?
hakuna uhuru wa kweli.kichekesho sana hilo baraza la vijana halina mwenyekiti wa taifa wa vijana.aliyebaka demokrasia ndiye anatengenezewa award. Ni kujikomba kwa mnyika na kumkosha mwenyekiti wao ambaye ni dikteta wa demokrasia.hivi sasa wamewafukuza watu wote wanaomsapoti zitto kabwe. Hii ni kama njia ya kumdhoofisha zitto.chadema kuna uhuru wa kweli?
kizuri zaidi mwenyekiti ana elimu ya kidato cha nne tunawapa ujumbe gani vijana?jamani ndugu yangu
sasa mbowe kafanya nini hadi atunukiwe ? Mambo mengine sisi watanzania tunafurahisha sana.
Wewe kweli unapendekeza tuzo ya Chacha Wangwe? wewe mbona ni kijana lakini unajiingiza katika unafiki ukiwa mdogo? sio wewe na wenzako mliohujumu tamasha la kumbukumbu ya mwaka mmoja ya Chacha Wangwe, lakini tunamshukuru Mungu ilifanyika Tarime kwa ushindi.This is a very logical but biased analysis. Hofu hii ya tuzo kuchafuka kutokana na jina la mwenye tuzo kuchafuka ipo; ndio maana taasisi nyingi huchagua majina ya hayati katika tuzo. Lakini tunaweza pia kumpima mtu kwa muda aliyoishi mpaka wakati huo maamuzi yanapofanyika.
Naamini vijana wa Mikoa mingine wanapaswa kuiga mfano huu wa Mkoa wa Kinondoni ambao Mwenyekiti Mbowe ni mmoja wa wakazi wake mathalani mkoa wa Mara unaweza kuanzisha Tuzo ya Ujasiri ya Chacha Wangwe.
JJ
hakuna uhuru wa kweli.kichekesho sana hilo baraza la vijana halina mwenyekiti wa taifa wa vijana.aliyebaka demokrasia ndiye anatengenezewa award. Ni kujikomba kwa mnyika na kumkosha mwenyekiti wao ambaye ni dikteta wa demokrasia.hivi sasa wamewafukuza watu wote wanaomsapoti zitto kabwe. Hii ni kama njia ya kumdhoofisha zitto.