Kujilinda ni haki yako,hivyo magu acha kutunyanyasa....mimi natembea na kisu,nina mikuki 6,mishale 100,nina mafunzo ya kutumia kisu....na wadogo zangu wote wana mafunzo hayo na silaha hizo sote kwa pamoja tunalinda familia yetu na mali zetu za ukoo kama mifugo,wake zetu.sasa hapo navunja sheria....tuletee basi polisi watulinde sisi tule raha mstarehe.....hakuna wa kuharibu nchi hii ila nyie mapolisi na watu wa serikali basi,mimi siibi mali wala fedha ya serikali maana mafisadi sio sisi ni nyie...wakamate hao.