Naunga mkono hojaMwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe ambaye amepita katika tanuru la mateso. Kwa pamoja tupaze sauti Mwenyekiti Mbowe ajengewe mnara iwe ni kumbukumbu kwa vizazi vijavyo. Nawasilisha!!!
Watanzania kwa umoja wetu inapaswa tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uhai tukaweza kushuhudia uongozi imara, uliotukuka na mpenda nchi, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe ambaye amepita katika tanuru la mateso hata hivyo hivi sasa yupo mstari wa mbele kusimamia utekelezaji wa maridhiano ndani ya Chama kilicho na vijana wenye mihemko ya kulipizana visasi.
Busara na hekima za Mheshimiwa Mbowe zimetumika ipasavyo kuzima mihemko na visasi vya vijana wanasiasa ndani ya CHADEMA.
Kwa pamoja tupaze sauti Mwenyekiti Mbowe ajengewe mnara iwe ni kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Nawasilisha!!!
Kubwa jingaSanamu lioneshe Mboe akiwa ameumia USO Kwa ulevi Huku ameshikana mikono na Joyce Mukya na majambazi wakiwazooom Kwa mbaaali!! sanamu litabalansisha na litapendeza zaidi.
Kwenye sanamu waandike,
"Huyu ndiye mwenyekiti pekee duniani wa Chama Cha siasa asiekubali kuachia ngazi"
Hivi jamaa yangu nimekukosea Nini hadi unitukane Yani nimemaindi kinoma Kesho naenda kupiga ramli nijue Wewe ni nani.
Sawa mimi kama mimi najitolea mifuko miwili ya cement... kuna mwengine yoyote atajitolea kitu kingine πππWatanzania kwa umoja wetu inapaswa tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uhai tukaweza kushuhudia uongozi imara, uliotukuka na mpenda nchi, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe ambaye amepita katika tanuru la mateso hata hivyo hivi sasa yupo mstari wa mbele kusimamia utekelezaji wa maridhiano ndani ya Chama kilicho na vijana wenye mihemko ya kulipizana visasi.
Busara na hekima za Mheshimiwa Mbowe zimetumika ipasavyo kuzima mihemko na visasi vya vijana wanasiasa ndani ya CHADEMA.
Kwa pamoja tupaze sauti Mwenyekiti Mbowe ajengewe mnara iwe ni kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Nawasilisha!!!
... apewe uenyekiti wa maisha! Mungu amjalie maisha marefu.Watanzania kwa umoja wetu inapaswa tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uhai tukaweza kushuhudia uongozi imara, uliotukuka na mpenda nchi, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe ambaye amepita katika tanuru la mateso hata hivyo hivi sasa yupo mstari wa mbele kusimamia utekelezaji wa maridhiano ndani ya Chama kilicho na vijana wenye mihemko ya kulipizana visasi.