Freeman Mbowe anaogopa kwao Hai?

Freeman Mbowe anaogopa kwao Hai?

Rais Samia Suluhu Hassan,
aliporuhusu vyama vya siasa kufanya mikutano yao ya hadhara nchini,kwa uhuru na bila kubughudhiwa.

Chama cha kwanza kuzindua mikutano yake nchini,kilikuwa ni CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Freeman Aikaeli Mbowe.

Walianzia na Mwanza,Musoma,Tarime Dar es salaam na baadae Ikungi.

Na ninapoandika kwa sasa,wanaendelea huko kusini mwa nchi.

Ninachouliza mimi ni kuhusu Chadema kutokwenda kwenye kiini chake, ambako ni Wilaya ya 'Hai" jimbo la uchaguzi ambalo, lilikuwa ngome ya Mwenyekiti Mbowe kwa miongo kadhaa.

Kabla ya wananchi kuamua kumchagua Mbunge kutoka CCM.
Ndugu Saasisha Mafuwe.
Kwenye Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Na hivyo kumbwaga Mwenyekiti wa Chadema Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa muda mrefu.

Kawaida ya Chadema,huwa wanaanzia zile sehemu ambazo Huwa wanaamini ni Ngome zao.

Ilikuwa hivyo kwa Dk Slaa na Karatu.
Ilikuwa hivyo kwa Heche na Tarime.
Ilikuwa hivyo kwa Msigwa na Iringa mjini.
Ilikuwa hivyo kwa Lissu na Ikungi.
Ilikuwa hivyo kwa Lema na Arusha mjini.
Na pia ilikuwa hivyo kwa Wenje na Nyamagana, Mwanza mjini.

Hata Mbowe alipotoka Magereza,alianza na Hai.huku akitoa na milioni mia moja kama sadaka kanisani kwao.

Sasa mikutano imeruhusiwa rasmi,mambo yamekuwa tofauti.
Mwenyekiti Mbowe amekuwa anazungukia kwenye Majimbo ya wenzake,huku yeye akiwa anakwepa kwenda kwake Hai na kuanzisha au kuzindua shughuli za kisiasa kwenye ngome yake ya muda mrefu,kule ambako anadai aliibiwa kura na CCM.

Ili kututhibitishia madai ya kuibiwa Kura,na syo maamuzi ya wananchi walioamua kumuweka pembenini,kama anavyoamini na kutuaminisha watanzania.

Tulitarajia akianzia huko,ili tuone Mapokeo ya wananchi wake wapendwa.

Tuone kweli wali mmiss mbunge na mtoto wao mpendwa.ili kweli tuamini kama hawakumkataa bali anavyodai yeye ndio sahihi.

Badala yake tumemuona Tarime kwa Heche!
Ikungi kwa Lissu.
Dar es Salaam kwa kina Meya Mstaafu Jackob nk.

Sasa hivi yuko kusini huko..

Je!
Tukisema Mbowe amegundua kwamba jimboni kwake hakubaliki tena!

Tutakuwa tumemkosea?

Au anaogopa hasira za wananchi wanaoujua mchezo ule mchafu unaoendelea dhidi ya shujaa wao anayeteswa Gerezani?

Wenye weredi na hili mje huku?
Wenye matusi na bhange mbakie kusini kwa muda.
View attachment 2527566

Kwenye siasa hakuna Rafiki au Adui wa kudumu.
Nimesoma nyuzi zako mbili, hii na ile kuhusu wazungu hapo Kenya, nikiri kuwa una ujinga mwingi sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Amekuwa mbunge miaka 15 hakuna la maana alilofanya

USSR
 
Kama hivi, ndiyo hoja zenyewe. Basi shule yako mlisoma kinyume nyume
Sio kila swali ni hoja!
Hili ni swali!
Na mnapaswa kulijibu kama linavyoulizwa kiuhalisia!

Acheni kuzunguka mbuyu enyi "Ufipaphobia".
 
Pindi akienda Fanya mkutano utaficha wap sura yako ?we hujui kuwa mikutano now Iko kikanda
 
Rais Samia Suluhu Hassan,
aliporuhusu vyama vya siasa kufanya mikutano yao ya hadhara nchini,kwa uhuru na bila kubughudhiwa.

Chama cha kwanza kuzindua mikutano yake nchini,kilikuwa ni CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Freeman Aikaeli Mbowe.

Walianzia na Mwanza,Musoma,Tarime Dar es salaam na baadae Ikungi.

Na ninapoandika kwa sasa,wanaendelea huko kusini mwa nchi.

Ninachouliza mimi ni kuhusu Chadema kutokwenda kwenye kiini chake, ambako ni Wilaya ya 'Hai" jimbo la uchaguzi ambalo, lilikuwa ngome ya Mwenyekiti Mbowe kwa miongo kadhaa.

Kabla ya wananchi kuamua kumchagua Mbunge kutoka CCM.
Ndugu Saasisha Mafuwe.
Kwenye Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Na hivyo kumbwaga Mwenyekiti wa Chadema Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa muda mrefu.

Kawaida ya Chadema,huwa wanaanzia zile sehemu ambazo Huwa wanaamini ni Ngome zao.

Ilikuwa hivyo kwa Dk Slaa na Karatu.
Ilikuwa hivyo kwa Heche na Tarime.
Ilikuwa hivyo kwa Msigwa na Iringa mjini.
Ilikuwa hivyo kwa Lissu na Ikungi.
Ilikuwa hivyo kwa Lema na Arusha mjini.
Na pia ilikuwa hivyo kwa Wenje na Nyamagana, Mwanza mjini.

Hata Mbowe alipotoka Magereza,alianza na Hai.huku akitoa na milioni mia moja kama sadaka kanisani kwao.

Sasa mikutano imeruhusiwa rasmi,mambo yamekuwa tofauti.
Mwenyekiti Mbowe amekuwa anazungukia kwenye Majimbo ya wenzake,huku yeye akiwa anakwepa kwenda kwake Hai na kuanzisha au kuzindua shughuli za kisiasa kwenye ngome yake ya muda mrefu,kule ambako anadai aliibiwa kura na CCM.

Ili kututhibitishia madai ya kuibiwa Kura,na syo maamuzi ya wananchi walioamua kumuweka pembenini,kama anavyoamini na kutuaminisha watanzania.

Tulitarajia akianzia huko,ili tuone Mapokeo ya wananchi wake wapendwa.

Tuone kweli wali mmiss mbunge na mtoto wao mpendwa.ili kweli tuamini kama hawakumkataa bali anavyodai yeye ndio sahihi.

Badala yake tumemuona Tarime kwa Heche!
Ikungi kwa Lissu.
Dar es Salaam kwa kina Meya Mstaafu Jackob nk.

Sasa hivi yuko kusini huko..

Je!
Tukisema Mbowe amegundua kwamba jimboni kwake hakubaliki tena!

Tutakuwa tumemkosea?

Au anaogopa hasira za wananchi wanaoujua mchezo ule mchafu unaoendelea dhidi ya shujaa wao anayeteswa Gerezani?

Wenye weredi na hili mje huku?
Wenye matusi na bhange mbakie kusini kwa muda.
View attachment 2527566

Kwenye siasa hakuna Rafiki au Adui wa kudumu.
Angeanzia huko mngesema ukabila na kuanzia kwingine pia ni shida, kwa kifupi kule hata asipofanya kampeni ile kwake ni home ground na anai-control 100%.
Nadhani kila chama kina ratiba zake na mikakati yake sasa pale Sukuma gang anapochukizwa na utaratibu wao basi ujue wamepatia sana, Sukuma ganga hawajielewi na wala hawaelewi wasimame wapi katika siasa za TZ zaidi ya kulinda legacy ya dictator.
 
Ni haki yao kujiunga na chama chochote wanachotaka as far wanakubaliana na katiba ya chama ,Lowassa karudi ccm sembuse Mdee kwenda ACT, hii sio talk of the town
Talk of the town....is ....underway!

Then you will know,why you didn't answer me correctly
 
Angeanzia huko mngesema ukabila na kuanzia kwingine pia ni shida, kwa kifupi kule hata asipofanya kampeni ile kwake ni home ground na anai-control 100%.
Nadhani kila chama kina ratiba zake na mikakati yake sasa pale Sukuma gang anapochukizwa na utaratibu wao basi ujue wamepatia sana, Sukuma ganga hawajielewi na wala hawaelewi wasimame wapi katika siasa za TZ zaidi ya kulinda legacy ya dictator.
Control of 100% then lost the Parliamentary election?

Only in Tanzania...
But another bombshell is underway to hit you guy's heavily!
 
Angeanzia huko mngesema ukabila na kuanzia kwingine pia ni shida, kwa kifupi kule hata asipofanya kampeni ile kwake ni home ground na anai-control 100%.
Nadhani kila chama kina ratiba zake na mikakati yake sasa pale Sukuma gang anapochukizwa na utaratibu wao basi ujue wamepatia sana, Sukuma ganga hawajielewi na wala hawaelewi wasimame wapi katika siasa za TZ zaidi ya kulinda legacy ya dictator.
Uchaguzi wa 2015-2020 Hon.Mbowe alikuwa mgombea pekee wa Ubunge nchi nzima aliyefanya Mkutano mmoja tu wa kampeni,na akashinda.
 
Uchaguzi uliofuata matokeo yaHimbo lake yakawa ya kwanza kutangazwa Tanzania, ameshibda kura 27,000 mwenzie wa CCM 83,000

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Uchaguzi wa 2015-2020 Hon.Mbowe alikuwa mgombea pekee wa Ubunge nchi nzima aliyefanya Mkutano mmoja tu wa kampeni,na akashinda.
Kwa hiyo yuko Bungeni hivi sasa 2023?
 
Rais Samia Suluhu Hassan,
aliporuhusu vyama vya siasa kufanya mikutano yao ya hadhara nchini,kwa uhuru na bila kubughudhiwa.

Chama cha kwanza kuzindua mikutano yake nchini,kilikuwa ni CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Freeman Aikaeli Mbowe.

Walianzia na Mwanza,Musoma,Tarime Dar es salaam na baadae Ikungi.

Na ninapoandika kwa sasa,wanaendelea huko kusini mwa nchi.

Ninachouliza mimi ni kuhusu Chadema kutokwenda kwenye kiini chake, ambako ni Wilaya ya 'Hai" jimbo la uchaguzi ambalo, lilikuwa ngome ya Mwenyekiti Mbowe kwa miongo kadhaa.

Kabla ya wananchi kuamua kumchagua Mbunge kutoka CCM.
Ndugu Saasisha Mafuwe.
Kwenye Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Na hivyo kumbwaga Mwenyekiti wa Chadema Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa muda mrefu.

Kawaida ya Chadema,huwa wanaanzia zile sehemu ambazo Huwa wanaamini ni Ngome zao.

Ilikuwa hivyo kwa Dk Slaa na Karatu.
Ilikuwa hivyo kwa Heche na Tarime.
Ilikuwa hivyo kwa Msigwa na Iringa mjini.
Ilikuwa hivyo kwa Lissu na Ikungi.
Ilikuwa hivyo kwa Lema na Arusha mjini.
Na pia ilikuwa hivyo kwa Wenje na Nyamagana, Mwanza mjini.

Hata Mbowe alipotoka Magereza,alianza na Hai.huku akitoa na milioni mia moja kama sadaka kanisani kwao.

Sasa mikutano imeruhusiwa rasmi,mambo yamekuwa tofauti.
Mwenyekiti Mbowe amekuwa anazungukia kwenye Majimbo ya wenzake,huku yeye akiwa anakwepa kwenda kwake Hai na kuanzisha au kuzindua shughuli za kisiasa kwenye ngome yake ya muda mrefu,kule ambako anadai aliibiwa kura na CCM.

Ili kututhibitishia madai ya kuibiwa Kura,na syo maamuzi ya wananchi walioamua kumuweka pembenini,kama anavyoamini na kutuaminisha watanzania.

Tulitarajia akianzia huko,ili tuone Mapokeo ya wananchi wake wapendwa.

Tuone kweli wali mmiss mbunge na mtoto wao mpendwa.ili kweli tuamini kama hawakumkataa bali anavyodai yeye ndio sahihi.

Badala yake tumemuona Tarime kwa Heche!
Ikungi kwa Lissu.
Dar es Salaam kwa kina Meya Mstaafu Jackob nk.

Sasa hivi yuko kusini huko..

Je!
Tukisema Mbowe amegundua kwamba jimboni kwake hakubaliki tena!

Tutakuwa tumemkosea?

Au anaogopa hasira za wananchi wanaoujua mchezo ule mchafu unaoendelea dhidi ya shujaa wao anayeteswa Gerezani?

Wenye weredi na hili mje huku?
Wenye matusi na bhange mbakie kusini kwa muda.
View attachment 2527566

Kwenye siasa hakuna Rafiki au Adui wa kudumu.
Hai ni jimbo la Chadema hilo halina ubishi. Huyo Mbunge wa CCM aliiba na kupokonya kura kwenye uchaguzi wa 2020. Chadema hawana wasiwasi wala hofu na Hai, wataenda huko muda wowote watakao.
 
Makosa makubwa! Chadema itafika kila mahali ni suala la mipango tu.
 
Back
Top Bottom