Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,467
- 283,812
Umemaliza au ulitaka kuongeza ?Suruali yake ilivyokaa na kuuficha msalaba kwenye mfuko wa shati vinatia mashaka.
Hongera Bishop Bagonza kwa msimamo na mtazamo wako juu ya Haki!!!
Wanaume wamekutanaView attachment 2164397
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambayo tunaisambaza tena kwenu wadau , kwamba Askofu Bagonza leo Amekutana na Mwamba wa siasa za Tanzania na kuteta naye machache .
Bado haijafahamika kilichozungumzwa , bali tetesi zinaonyeshwa kwamba masuala ya KATIBA MPYA na TUME HURU ya uchaguzi yamejadiliwa .
Abarikiwe sanaBagonza anasimamia haki
Bagonza alikutana na Samia na Sasa kakutana Mbowe.Wote ni makamanda, sasa cha ajabu hapo ni nini? Kwani kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake kule Iringa hawakukutana?
Pale alipo tetea haki ya mtoto kulia aliniacha hoiBagonza falsafa zake huwa nazikubali sana
Kwani kuna shida gani makamanda kukutana na Samia, na wao wenyewe kukutana ili kupeana mrejesho? Hata mr #dishlimetilt pia alikutana na Samia!Bagonza alikutana na Samia na Sasa kakutana Mbowe.
Endelea kupiga mayoweee
Endelea kuteseka sasaKwani kuna shida gani makamanda kukutana na Samia, na wao wenyewe kukutana ili kupeana mrejesho? Hata mr #dishlimetilt pia alikutana na Samia!
Na wewe endelea kuwewesekaEndelea kuteseka sasa
Huna hojaNa wewe endelea kuweweseka
Kwani yeye hoja iko wapi?Huna hoja
Mungu ibariki CHADEMAView attachment 2164397