No yule anasimamia ukucha. We humuoni!!!Bagonza anasimamia haki
Ana falsafa gani zaidi ya kukutana na watanzania wajinga wajinga Kama wewe na machadema wenzako mbumbu Kama akina mdude na Malaya Hilda newtonBagonza falsafa zake huwa nazikubali sana
Msalaba kauweka ndani ya mfukoSuruali yake ilivyokaa na kuuficha msalaba kwenye mfuko wa shati vinatia mashaka.
Mawazo mafupi sana hayaWalutheri mmeamua. Wakatoliki wanabaki na CCM
Nakuona mlinzi wa kaburi kwenye ubora wakoWalikutana na walihutubia kila mtu alilitumia jukwaa.
Hawa maaskofu nao kuna wa Michongo-siasa mkuu @UmkonthowesizweView attachment 2164799View attachment 2164805View attachment 2164806View attachment 2164807
Bwashee anayevurugwa yuko ulayaUmevurugwa vya kutosha
Gaidi na mvunja katiba baba Askofu BagozaView attachment 2164397
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambayo tunaisambaza tena kwenu wadau , kwamba Askofu Bagonza leo Amekutana na Mwamba wa siasa za Tanzania na kuteta naye machache .
Bado haijafahamika kilichozungumzwa , bali tetesi zinaonyeshwa kwamba masuala ya KATIBA MPYA na TUME HURU ya uchaguzi yamejadiliwa .
Askofu mkuu KKKT dayosisi ya KondeNdio nani
Nani kasema hayo ?Msalaba kauweka ndani ya mfuko
Yesu kamuweka mfukoni
Hakuna Askofu hapo
Umevurugwa wewe mlinda kaburiBwashee anayevurugwa yuko ulaya
Gaidi lilishafukiwa kitamboGaidi na mvunja katiba baba Askofu Bagoza
Picha iko waziNani kasema hayo ?
View attachment 2164397
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambayo tunaisambaza tena kwenu wadau , kwamba Askofu Bagonza leo Amekutana na Mwamba wa siasa za Tanzania na kuteta naye machache .
Bado haijafahamika kilichozungumzwa , bali tetesi zinaonyeshwa kwamba masuala ya KATIBA MPYA na TUME HURU ya uchaguzi yamejadiliwa .
Wasisahau kuzungumzia na Mgogoro wa Dayosisi ya Konde!View attachment 2164397
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambayo tunaisambaza tena kwenu wadau , kwamba Askofu Bagonza leo Amekutana na Mwamba wa siasa za Tanzania na kuteta naye machache .
Bado haijafahamika kilichozungumzwa , bali tetesi zinaonyeshwa kwamba masuala ya KATIBA MPYA na TUME HURU ya uchaguzi yamejadiliwa .
Mbea ndio nini!Ungepita tu pembeni wasingekuita mbea.