Walutheri mmeamua. Wakatoliki wanabaki na CCMView attachment 2164397
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambayo tunaisambaza tena kwenu wadau , kwamba Askofu Bagonza leo Amekutana na Mwamba wa siasa za Tanzania na kuteta naye machache .
Bado haijafahamika kilichozungumzwa , bali tetesi zinaonyeshwa kwamba masuala ya KATIBA MPYA na TUME HURU ya uchaguzi yamejadiliwa .