Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,901
Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!
mbona wanapokezana tu safari za nje! juzi alikuwa huko yule jamaa wa arusha, leo yupo mbowe..... ! halafu ndio wa kwanza kumlalamikia kikwetw kwa safari za nje!Wengi wajiunga Chadema, Mkusanyiko ulikuwa ni mkubwa sana kwa historia ya mwana siasa yeyote aliyewahi kutokea Houston TX . Mbowe awabadili Wana CCM na kuwa Chadema. Mbowe afanya Houston kuwa base ya CHADEMA na wanachadema watoa Pikipiki 126
Sasa ngoja nikupe fact wana diaspora sio lazima tupige kura ila tunachofanya ni kukisaidia chama tunatoa magari, pikipiki Na hata helcopter yote hii kwa ajili ya kujenga chama kuanzia ngazi ya chini, ccm 2015 hamtoki, lazima chadema ichukue nchi mtake msitake habari ndiyo, wana wa diaspora houston tawi la chadema tutatoa pikipiki 126Hivi hawa jamaa wa diaspora huwa wanapiga kura kweli hawa?
USA CCM walimpeleka Diamond kuhamasisha kwanini msingepeleka na komba na lile scania kwaajili ya kuongeza Nguvu? kwi! kwi! kwi! teh!Weka picha wacha porojo, za Kinana tumeona DC.
Ukute ni afadhali ya Lema pale bar ya Wakenya, London.
Hivi hawa jamaa wa diaspora huwa wanapiga kura kweli hawa?
watu wengine bwana jimboni kwake hai kuna shida ya kila namna lakini yeye kiguu na njia kutafuta sifa kwa walowezi ambao hata kura huwa hawapigi
Mh mbowe amefanya kile kilichowashinda wanasisa wengi wa tanzania walio waliowahi kutembelea houston, ktk mkutano uliofanyika mariot hotel watanzania zaidi ya 100 waliweza kuchua Card za chadema, kabla ya mh mbowe mh Sugu alitoa hotuba fupi akiwaomba wananchi waunganishe nguvu kuutoa utawala mbovu wa ccm, Sugu alienda mbali akisema ccm wanawaogopa wana diaspora, chadema wanawahitaji sana Hawa watu, watasaidia sana kujenga uchumi wa nchi yetu
Mzee kinana nae anfuata chakula? hii ndio tofauti ya CDM na NyinyiEM shame on you,Weka picha wacha porojo, za Kinana tumeona DC.
Ukute ni afadhali ya Lema pale bar ya Wakenya, London.
Hivi hawa jamaa wa diaspora huwa wanapiga kura kweli hawa?
mbona wanapokezana tu safari za nje! juzi alikuwa huko yule jamaa wa arusha, leo yupo mbowe..... ! halafu ndio wa kwanza kumlalamikia kikwetw kwa safari za nje!
Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!
Hapo kwenye Red nimefurahia sana, labda ungesema mwingine. Mbowe kwa biashara zake halali ana uwezo wa kwenda ulaya kila mwezi akitaka. Pesa za Chadema haziwezi kumsumbua Mbowe kwa kadri ninavyomjua. Hivi kwa Siku Mbowe kwenye bishara zake anaingiza sh ngapi mkuu mpaka aende US kwa ajili ya Posho? Hii hapana mkuu, umepotosha makusudi.