[emoji3][emoji3] hahaha sawa mkuu,MMU jukwaa pendwa kuleIngia Google andika hivi
Freelancer jamiiforums
Utaletewa mada zote kuhusu Freelancers. Utapata mwanga pa kuanzia.
JF ya sasa siyo nzuri kwa afya. Ukiomba msaada upande wa Tech hautapata msaada. Ile kwenye jukwaa la MMU linafanya vizuri 99%
Kumbe hii iko vema pia ??Jaribu hawa, japokuwa hela zao ndogo unaweza pata angalao dola 50 kwa mwezi ukipambana vizuri.
Kwanza ifanye kama hobby ndo itakulipa kama ukiwaza ikulipe leo haitokulipa kamweWakuu habari ya majukumu,nimejaribu kutafuta mada ya kuhusu freelancing humu jukwaani sipati lakini kumbukumbu zangu zinaniambia hii mada iliwahi zungumziwa humu jukwaani.
Kwa sasa ishu na ajira imekua ngumu na hata mzunguko wa pesa umepungua duniani kote kutokana na athari za COVID-19. Hivyo basi tujitahidi kuonyeshana mbinu za kupata kipato kwa njia ya mtandao.Najua humu kuna watu wanaingiza pesa kwa kupitia mitandao kama ya Upwork,fivver kuorodhesha kwa uchache,lakini hawa watu hata ukiwafuata PM hawataki kuonyesha mbinu za kupata kazi kwa hiyo mitandao.
Mm ni mmoja wa wahanga wa hili jambo.Kuna baadhi ya watu nimewa PM nikiwaeleza nimefungua account Upwork lakini hadi leo sipati task ya kufanya hivyo nilikua nikiomba msaada maana nimejaribu hadi kuangalia video youtube mbinu za kutumia kupata kazi haraka na nimekosa.
Yes, uzuri ni kwamba wanalipa pesa kupitia Payoneer na Skrill ambazo zote unaweza tuma hela Tanzania kupitia benki.
Mbn kujiunga inaleta mapichapicha?Y
Yes, uzuri ni kwamba wanalipa pesa kupitia Payoneer na Skrill ambazo zote unaweza tuma hela Tanzania kupitia benki.
Nyingine hii ambayo ipo chini ya PACTERA EDGE, Oneformal, ukitaka kujiunga tumia hii link: ONEFORMAL: ONLINE WORK