Freedom inakaribia sana

Freedom inakaribia sana

October 29 jeshi likisema litasindikiza maandamano itaisha mapema sana.

Mungu Ibariki Tanzania.
Majeshi YETU yote hapo Kwa ajili ya kulinda Watawala siyo Wananchi .Mfano Polisi wetu huangalia ataishije akifukuzwa kazi maana hata ELIMU zao mbovu
 
Kwa mamilioni anayopewa mkuu wa majeshi, sahau hilo jeshi kusaidia chochote
Uzuri huko jeshini sio lazima mkubwa afanye maamuzi. Rejea nafasi ya Idd Amini, rejea nafasi ya Ibrahim Traore, rejea nafasi ya Thomas Sankara.

Unaweza ukawa mkubwa na ukakosa ushawishi.
 
Back
Top Bottom