thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,408
- 3,633
Nisaidieni namna ya kutengeneza wifi network yangu mwenyewe bure high speed nimejaribu kusearch YouTube (experiment army) lakini sijafanikiwa. Kama kuna aliye na concept anisaidie pls


Mkuu, umeeelezea vizuri sanaa yaani kama hajaelewa hapa basi tena.Wifi ni njia tu ya mawasiliano kama waya..
Swali lako ni kama unasema naomba njia ya kutumia waya wangu hapa nyumbani kuona movies bure. Bila TV na deki huo waya wako hautokuja kuonesha kitu.
Ili wifi itoe internet inahitaji source, Inaweza kuwa ni internet ilikuja na waya, dishi la satelite, modem yenye line etc.
hizo ni tafsiri sisisi, lakini nina uhakika umenielewa vema kabisa kile nachomanisha ila ni vile una asume kichwa chako kimekatwa.Wifi ni njia tu ya mawasiliano kama waya..
Swali lako ni kama unasema naomba njia ya kutumia waya wangu hapa nyumbani kuona movies bure. Bila TV na deki huo waya wako hautokuja kuonesha kitu.
Ili wifi itoe internet inahitaji source, Inaweza kuwa ni internet ilikuja na waya, dishi la satelite, modem yenye line etc.
kumbe unajua si ufanye...mbona umeomba msaada huku tena unawasimanga wanao kusaidiahizo ni tafsiri sisisi, lakini nina uhakika umenielewa vema kabisa kile nachomanisha ila ni vile una asume kichwa chako kimekatwa.
Jamaaa una dharau sana.hizo ni tafsiri sisisi, lakini nina uhakika umenielewa vema kabisa kile nachomanisha ila ni vile una asume kichwa chako kimekatwa.
Nisaidieni namna ya kutengeneza wifi network yangu mwenyewe bure high speed nimejaribu kusearch YouTube (experiment army) lakini sijafanikiwa. Kama kuna aliye na concept anisaidie pls![]()
Mkuu, umeeelezea vizuri sanaa yaani kama hajaelewa hapa basi tena.
Labda alimaanisha ile ya kutumia satelaiti, kama sijakosea waliwahi kuelezea unatumia king'amuzi fulani kufikia satelaiti ambayo itakupa free internet
Sent using Jamii Forums mobile app
UmenichekeshaNoo huyu huwa anaona video l/ picha za wahindi wakivuti viwers kwamba how to make 8G internet mara utaona kaunga nyembe, plag ya gari mara kichwa cha Usb ma kabetri pembeni nk.
Sasa jamaa anadhani thing are easy like he see.
Umenichekesha
Wahindi miyeyusho sana
Kuna video moja ila hii niliona instagram
Kachukua standfan ile plug kachukua chungwa kakata vipande viwili kachukua plug kachomeka kipande kimoja(yaan NEUTRAL ) na kipande kingne kachomeka(LIVE) kawasha fan inazungunguka mwamwamwa
Sasa umenikumbusha ile video nimecheka sana
Huwezi mkuu maana wanao supply internet hapa Tanzania ni ttcl, hii minara ni kama wifi hotspot.Nisaidieni namna ya kutengeneza wifi network yangu mwenyewe bure high speed nimejaribu kusearch YouTube (experiment army) lakini sijafanikiwa. Kama kuna aliye na concept anisaidie pls![]()
Laiti ungemjua huyo uliyemjibu hivyo ndiye msaada wenyewe wala usingethubutu.hizo ni tafsiri sisisi, lakini nina uhakika umenielewa vema kabisa kile nachomanisha ila ni vile una asume kichwa chako kimekatwa.
Sasa huyu mtoa mada ni hamnazo kweli, anadhani ndio atapata 8g kwa huo upuuzi. BTW makampuni makubwa yapo yanapambana na 5g hayajafanikiwa. Hata nchi yetu haina 5G yeye anataka atengeneze 8G nyumbani kwake. Mata.ko kweli huyu


Mzee polepole ataelewa tuNoo huyu huwa anaona video l/ picha za wahindi wakivuti viwers kwamba how to make 8G internet mara utaona kaunga nyembe, plag ya gari mara kichwa cha Usb ma kabetri pembeni nk.
Sasa jamaa anadhani thing are easy like he see.




ndugu kuna ISP(Internet Service Provider) wengi wanatoa service ya internet na wana Association yao inaitwa Tanzania Internet Service Providers Association na mfano wa hao providers niHuwezi mkuu maana wanao supply internet hapa Tanzania ni ttcl, hii minara ni kama wifi hotspot.
cha kukushauri nunua zuku lipia elf 70 unatukia kadri unavyotaka unlimited
Mkuu hapa umejichanganya sana.hizo ni tafsiri sisisi, lakini nina uhakika umenielewa vema kabisa kile nachomanisha ila ni vile una asume kichwa chako kimekatwa.