Free Wi-Fi: Nchi zingine wamewezaje?

Free Wi-Fi: Nchi zingine wamewezaje?

Inaitwa Raha. Nakumbuka miaka ya mwanzo 2000 kulikuwa na kampuni kama hii ya huduma ya internet, pengine
wamerudi upya

Unajua intenet ikiwa ya uhakika hata biashara ya ving'amuzi itakufa
na kampuni za simu nazo zitaacha kutupiga....
kuna revolution kubwa haijatufikia bado....
 
Unajua intenet ikiwa ya uhakika hata biashara ya ving'amuzi itakufa
na kampuni za simu nazo zitaacha kutupiga....
kuna revolution kubwa haijatufikia bado....

Ni kweli kabisa. Kwanza itakuwa rahisi kupata taarifa kutoka kwenye tv au redio kwa njia rahisi na ukiwa eneo lolote.
Bado naona matumizi ya internet kwetu ni anasa.
 
Hivi si nilisikiaga wanataka kuweka free wifi kwenye makazi ya watu hiyo project imeishia wapi
Hawawezi kufanya huo mchezo kirahisi. Ukiweka internet free watanzania wengi wataendelea kutoka kwenye giza na wakuu wa nchi hawatopenda hivyo inaweza kuwatilia kitumbua chao mchanga. Tunatakiwa tuendelee kuwa gizani ili watutawale vizuri.
 
Maendeleo yanayopatikana Africa sio kana kwamba yanafurahisha nchi za magharibi. Wanachukua sana nchi za magharibi, awataki mwafrika anyanyuke wanataka mwafrika anyanyuke baada ya miaka 10. Na ndio maana angalia biashara nyingi kama magari yamekuwa yanaingia apa Africa baada ya miaka 10, na vifaa vinginevyo kama electronic devices
Uwepo wa mchina na mjapani katika dunia hii ndio umemsaidia mwafrika anyanyuke, kwa sababu wao soko la Ulaya lilikuwa gumu kupita, walikuwa wanawekewa vizuizi kupitisha bidhaa zao na ndio maana wakajalibu kufanya soko Lao Africa.

Tageti ya watu wa magharibi walikuwa watengeneze bidhaa waitumie wao, alafu waiuze Asia na wao wakishaiChoka waiuze Africa baada ya kutumia uko kote
Angalia bidhaa za apple iPhone simu wameshindwa soko la Africa
 
Wataalamu watakuja, nlipokua chuo tulikua tukipata free wifi eneo lote la chuo... Pia kuna ile kampuni "" inatoa free wifi katika hotels na Cinemas kwa Arusha (mfano ni pale Njiro Complex na safari hotel). Siku hizi nmeona gari nyingi za luxury zina free wifi (sijajua wanafanyaje na vipi serikali inashindwa kutoa huduma hii public places kama vile hospital na vituo vya mabasi)
Muhimbili pale ipo na nishawahi kufanyia mambo yangu mengi pale,eneo lote la emergency pana free WiFi.
 
Huwa najiuliza ili kuweza kuwa na free Wi-Fi..... Mfano kwenye vyuo vyetu
au maeneo yetu sehemu mbali mbali nini kinatakiwa kifanyike?

Nchi zingine wamewezaje? Ni lazima serikali ishiriki?

Wadau binafsi wakiamua wafanye ni ghali sana? Humu kuna watu mna uelewa zaidi hebu tuelewesheni..
==========

BAADHI YA MAONI YA WADAU

Nahisi suala la wires Tz nchi haiku tayari kuliruhusu, maanake hela zinazopigwa na makampuni ya simu sio mchezo. Uliketa wires less na hizi simu free kwa whatsap, imo etc makapuni lazima yafe. unajua cable yawezwa kuwekwa kila mahali ikasambaza baada ya kupitisha route za internet. Mbona Vyuo vya nje huku tunatumia free wifi hostel na chuoni bila shida. Ila nilichogundua ukimove point moja to nyingine unajiconnect it means wameweka cable nyingi kila jumba kwa system moja.

Maofisini yawezekana kabisa, wanaweza pia wakatumia watu binafsi majumbani, wakiunganisha inakuwa unaingia mkataba unalipa montly. Ila narudia Tz nahisi wanazuia maana siamini hakuna wenye mawazo hayo. wakiwaruhusu makapuni ya simu yatafungwa moja baada ya linguine.

Gharama za kupiga simu Tz pia ni kubwa sana humu kwa mumu hata sielewi shida nini haswa
 
maringeni unataka free wifi ukiingia majiji makubwa ya nini hutak nunua bando au ......afu huo umeme wa kuwezesha wifi nan analipa ?? we nunua data bhna hamna kitu cha bure
 
Why we need free Wi-Fi while we can't even protect our websites from bad programmer!.
 
Maendeleo yanayopatikana Africa sio kana kwamba yanafurahisha nchi za magharibi. Wanachukua sana nchi za magharibi, awataki mwafrika anyanyuke wanataka mwafrika anyanyuke baada ya miaka 10. Na ndio maana angalia biashara nyingi kama magari yamekuwa yanaingia apa Africa baada ya miaka 10, na vifaa vinginevyo kama electronic devices
Uwepo wa mchina na mjapani katika dunia hii ndio umemsaidia mwafrika anyanyuke, kwa sababu wao soko la Ulaya lilikuwa gumu kupita, walikuwa wanawekewa vizuizi kupitisha bidhaa zao na ndio maana wakajalibu kufanya soko Lao Africa.

Tageti ya watu wa magharibi walikuwa watengeneze bidhaa waitumie wao, alafu waiuze Asia na wao wakishaiChoka waiuze Africa baada ya kutumia uko kote
Angalia bidhaa za apple iPhone simu wameshindwa soko la Africa
Sisi wenyewe tu Afrika bado hatujaweza kujiletea maendeleo kwa ubinafsi tulionao. Mchina anauza bidhaa zake dunia nzima hata huko ulaya vitu vingi vya electronic na vyenginevyo vinatoka china. Tukiwa na uwezo wa kununua magari yaliyotengenezwa na mzungu pia naamini tunaweza. Wazungu wa leo sio wale wa wakati wa ukoloni. Akili zetu tu bado ziko kifungoni ndio maana tunakua na mawazo ya kikoloni. Hata mchina akishindwa kuuza bidhaa zake ulaya inawezekana ni ubora wa hio bidhaa ndio anakuja kuzitupia huku Afrika. Dunia ipo katika ushindani wa biashara.
 
Nahisi suala la wires Tz nchi haiku tayari kuliruhusu, maanake hela zinazopigwa na makampuni ya simu sio mchezo. Uliketa wires less na hizi simu free kwa whatsap, imo etc makapuni lazima yafe. unajua cable yawezwa kuwekwa kila mahali ikasambaza baada ya kupitisha route za internet. Mbona Vyuo vya nje huku tunatumia free wifi hostel na chuoni bila shida. Ila nilichogundua ukimove point moja to nyingine unajiconnect it means wameweka cable nyingi kila jumba kwa system moja.

Maofisini yawezekana kabisa, wanaweza pia wakatumia watu binafsi majumbani, wakiunganisha inakuwa unaingia mkataba unalipa montly. Ila narudia Tz nahisi wanazuia maana siamini hakuna wenye mawazo hayo. wakiwaruhusu makapuni ya simu yatafungwa moja baada ya linguine.

Gharama za kupiga simu Tz pia ni kubwa sana humu kwa mumu hata sielewi shida nini haswa

Nchi hata mawazo ya kukosoa hayaruhusiwi unategemea nini?
wako busy na wapinzani
 
Unajua intenet ikiwa ya uhakika hata biashara ya ving'amuzi itakufa
na kampuni za simu nazo zitaacha kutupiga....
kuna revolution kubwa haijatufikia bado....

Wenye ving'amuzi lakini watapata chance kubwa kuja na products nyingine za online na wakapiga pesa zaidi, kuja kwa internet ya uhakika kutasaidia pia kunyanyua uchumi kwa kasi, online business ni kitu kikubwa sana na makampuni kama haya ambayo tayari yana pesa wana nafasi kubwa kuinvest kwenye small growing tech companies au wakalipa developers kuwatengenezea products nyingine.

Hizi hizi kampuni za simu zinaweza zikahamisha akili yake kwenye kuprovide internet kuliko kuendelea kubana watu watumie gsm maana its inevitable, wasipofanya wao Facebook au Google au any other big company watakuja nchini watachukua hiyo nafasi na kupiga hela.
 
Why we need free Wi-Fi while we can't even protect our websites from bad programmer!.

Hujui hiyo hiyo Free Wi~fi ndiyo itakayosaidia kuexpose hawa bad programmers wakafutika, security vulnerabilities zinavyozidi kuonekana ndivyo wataalamu uchwara wanazidi kutupiliwa mbali na watu wanaanza kua aware kua kuna vitu vya kuzingatia ukiwa unataka kitu secured. Ila kama zinakuwepo na hakuna anayejali then wataendelea kuwepo tu.
 
Back
Top Bottom