Kuweka internet swala ni kuwa na wifi router tu, wifi router inachukua internet kupitia labda cable then inadistrubute via wifi kwa users wote, challenge inakuja kwenye number of users, wakiwa wengi speed inapungua alafu inakua vigumu sana kuconnect kwenye router moja, hizi consumer grade routers haziwezi handle 100+ users, ila kama ni restaurant wanakaa watu 20 kwa wakati moja router moja ya wifi ac 1GBPs inaweza ikawahandle vizuri tu bila shida. Kama ni area kama park ambayo ina watu wengi inabidi kuweka router nyingi kidogo ziwe distrubuted sehemu tofauti.
Haina complications zozote zile, swala ni mlipiaji tu wa hiyo internet, kama anapata unlimited then hamna shida, ila kama ni bundle za kulipia hizi wakikaa wanaopenda kudownload movie lazima aumie.
Hii fibre optic toka naondoka Tanzania miaka 5 iliyopita walisema wanaiweka sijui hadi leo naona kimya, ingekuwepo wanadistribute kupitia cable kila nyumba mtu unalipa unakaa mwezi mzima na unlimited internet ya 1GBPs huna mawazo kabisa, kudistribute internet ingekua rahisi sana, kila mtu angekua na wifi access points hata uchumi ungekua maana online business zinalipa vizuri mno.
Njia pekee ya kuliwezesha hili kwa sasa ni kama huu mkongo wa optic fibre waliokua wanauongelea utatimia kama ilivyokua imepangwa, kupitisha internet kupitia cable ni very very cheap, waya moja unaweza pitisha bandwidth kubwa mno kwa bei nafuu, ndio maana hata hawa providers badala ya satellite waliamua kutumia optic cable ikapita kutoka china chini ya bahari hadi east africa.
Kwa Tanzania hili linawezekana sana tu sema nadhani hawafanyi hivyo maana wanataka waendelee kupiga hela, wireless networks ni gharama sana, hii mikongo ya 3G, 4G, bandwidth cap yake ni ndogo na bado kuna interference, ni challenge hata nchi kama US wanasumbuka sana kuhandle wireless networks ndio maana nyumba na ofisi karibia zote wanatumia cable, wireless watu wanatumia wakiwa nje tu mara chache kwa kazi ndogondogo kama kuchat. Kwenye coffee shops, restaurants au convenience stores wakiwa na wifi jua imeungwa kwenye cable, so its still cheap all the way.
=======Tatizo kubwa ni network structure yetu, websites na blogs nyiingi zilizoko bongo zimekuwa hosted nje ya nchi, hii inasababisha gaharama ya kuaccess mtandao ziwe kubwa zaidi.
Ila kama mitandao miingi ya kibongo ingekuwa hosted bongo ingesababisha gharama ya kui-access iwe rahisi, tungekuwa tunapata taabu kuaccess email, Facebook...,
Hapo ndo nchi zilizoendelea wanapotupiga bao,
Wataalamu watakuja, nlipokua chuo tulikua tukipata free wifi eneo lote la chuo... Pia kuna ile kampuni "" inatoa free wifi katika hotels na Cinemas kwa Arusha (mfano ni pale Njiro Complex na safari hotel). Siku hizi nmeona gari nyingi za luxury zina free wifi (sijajua wanafanyaje na vipi serikali inashindwa kutoa huduma hii public places kama vile hospital na vituo vya mabasi)
Kipo Arusha, Maeneo ya Ngaramtoni Mount Meru UniversityChuo kipi mkuu?
Nchi zilizoendelea wifi ni very cheap kuliko data. Na ipo maeneo mengi sana. Familia, makampuni mengi sana wanatoa huduma ya wifi.
Sisi Tanzania, hii huduma ni gharama sana na inaonekana ni luxury kuliko data.
Binafsi, naweza kusema kwamba hii huduma haiwezi kuwekwa kwasababu makampuni ya simu yanayotoa data yatapata hasara.
Na lazima waweke figisu hii huduma ife.
kuna cable zilichimbiwa chini wenyewe wanaita mkongo wa taifa hizi unaweza ukazivuta hadi mahali unapotaka kuna vitu wanakufungia kisha unaweza kuruhusu free wife eneo hilo
Haliwezekani kupiganiwa.Lazima wapatikane watu wenye ushawishi ili kupigania hili
labda watapita humu na kuelewa
unaweza kuwa agent hata wewe unaenda ttcl kuna gharama ndogo tu za kufunga kama tanescoKampuni hizi za cable nimezisahau hata majina
labda tuwatafute tujue gharama zake....tuhamasishane
Yani nchi hii kama kuna project mnataka kuanzisha na inagusa maslahi ya mkubwa fulani. Mjue hamtafanikiwa.Duh basi kazi ipo
Yani nchi hii kama kuna project mnataka kuanzisha na inagusa maslahi ya mkubwa fulani. Mjue hamtafanikiwa.
Labda watokee wabishi wachache waweke kwenye makazi na ofisi zao.
Ulishawahi jiuliza wanashindwaje kuweka kwenye vyuo vikuu na ofisi za serikali? Wakati wao ndo wanamiliki huo mkonga?
huo mkonga hauna muda mrefu kama unavyofikiria umepita tayari barabara za mwendokasi zishajengwa kama utakumbuka kuna watu walikua wanachimba kando ya barabara wanapitisha hizo cables tena bado haijasambaa nchi nzimaMO11 hebu tusaidie majibu hapa
huo mkonga hauna muda mrefu kama unavyofikiria umepita tayari barabara za mwendokasi zishajengwa kama utakumbuka kuna watu walikua wanachimba kando ya barabara wanapitisha hizo cables tena bado haijasambaa nchi nzimaMO11 hebu tusaidie majibu hapa
Hiyo wanafunzi wanafanya sana, sisi walieka filter ya websites... Kwahiyo ambao hawakua na utundu wa kucheza na vpn kupakua torrents ilikua hauezi. Ila hizi free wi-fi hua zinasaidia sanaUDSM kuna free wifi hii imewekwa kuwasaidia wanafunzi ku-download material yao lakini wengine wanaitumia ku-download movie/music.Nimesikia TTCL wamesign contract na DART kuweka wifi kwenye vituo vyote vya DART