Nasikia vpn inakula sana data tofauti na unavyotumia kawaida je ina ukweli?Tumia openvpn ambayo ni bure kabisa ingia playstore na download opevpn connect halafu nenda web ya vpnbook na udownload openvpn files na huko huko utakuta username na password ya hiyo VPN servers