Heckers = hacker,, ishu ni illegal halafu unakuja kuuliza mbele ya kadamnasi kama hivi kama siyo kudhihirisha matope uliyo jaza kichwani ni nini????
Hao hao ma hacker unao waongelea, bado vpn za bure wanazo na wanatamba nazo,, lakini kwa sababu ya wajinga kama wewe wanapost kitu bila ya kufikiria nje ya box nashauri hata wasigawe kabisa, uendelee kuteseka hivyo hivyo SHWAIN KABISA 🤒 😎