mkuu mediafire inapendwa sababu ni classic pande zote.
1.ni direct hamna waiting time
2.hujazi capture (mara chache unajaza)
3. Unaweza kulock file na password
4.ina speed kubwa ya kudownload
kuhusu kudelete just usiname file lako na kitu maarufu. Maana wao wakiona jina linahusiana na piracy wanadelete. Mi nna mafile yangu yana zaidi ya mwaka mediafire hayajadeletiwa

zippy nawakubali sana, hata ukiandika file lako jina lolote hawalifuti, pia file zinashuka fast sana, ni poa sana, nao hawana security labda mara chache, nilikuwa nawapenda sana mediafire ila nikawaacha