Hiki hapa pichani,
Unatumia tu antenna ya kawaida ile, hakuna malipo ya mwisho wa mwezi,
Kinasupport hadi Wi-Fi ukichomeka Wi-Fi receiver kwa ajili ya YouTube na iptv, kina rekodi pia na radio zinashika.
Kuna kimoja kimebaki unaeza nicheki tuongee.
View attachment 1190986