kwanza umejuaje kama umefunga sawasawa dish lako...maana ili ujue ni lazima uwe na freq na syrt. angalau moja ili ukiona signals zake ndo ujue lipo sawa..sasa kama huna kabisa umefungaje dishi..?? na kama unazo chache umezitoa wapi ambapo umeshindwa kupata na hizi!! na kwa kukusaidia tu kuna nyuzi kibao humu zina hizo freq. na syrt. zake ..mtafute mtu mmoja anaitwa Arselona (kama sijakosea) then angalia nyuzi alizoanzisha kuna moja ina mambo yote hayo inaitwa ulimwengu wa fta sijui..jaribu kwa kusearch hiyo ina mpaka link za website mbalimbali...itakusaidia sana!!net yangu ipo slow sana ningekusaidia kuweka link yake..