Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,602
- 4,502
Ndo shida ya wabongoAnapigwa mtu sshv
Ujuaji mwingi, acha samia atupige pumbu hadi akili zitukae.Ndo shida ya wabongo
Leta baba 😅Kuna wadau waliomba niwe naleta utabiri wa mipira ukiacha kutoa tabiri mbali mbali,afya,taifa nk.
Hatimae Leo nimefungua rasmi Uzi wa utabiri wa mikeka.
Naleta muhuni anaanza kelele sijui mzaramo uyu 😂😂😂Leta baba 😅
Kabisa mkuu tuna ujuaji mwing mbele Giza +kihele hele ndo mana Kila sehem tunapigwa spana za kichwa 😅Ujuaji mwingi, acha samia atupige pumbu hadi akili zitukae.
mkuu uliona simba win au uliona 2-0 ? ili wadau wasogee karibuUtabiri umeenda kama nilivyo ona.View attachment 3660848
Niliona Simba anashinda na ndo utabiri wangu,ayo niliyo leta 2-0 ni matokeo baada ya game kuisha ivyo utabiri umeenda kama nilivyo onamkuu uliona simba win au uliona 2-0 ? ili wadau wasogee karibu
Sawa mkuu,Niliona Simba anashinda na ndo utabiri wangu,ayo niliyo leta 2-0 ni matokeo baada ya game kuisha ivyo utabiri umeenda kama nilivyo ona