Free talk: Mwanamke shtuka!

Nimependa uliposema "TUJIELEWE".
 
 
Kisha hiyo elimu tuihamishie kwa watoto wetu wa kike wakue wakijua hawapaswi kuwa tegemezi bali wapambane wajikwamue kiuchumi.
Pia kuwepo na sera zitakazo muwezesha na kumlinda mwanamke huyu anapokuwa na ubunifu katika kazi zake.

Mwanamke huyu anapoandaliwa mazingira mazuri, ni rahisi kwake kufanikiwa na kutimiza ndoto zake
 
naomba nisomeshe mimi basi, hutaingilia wajibu wa mtu kabisaaa.
 
Hahahaaaa!!! Hapo kwenye pesa lazima watusaidie kuhubiri haki sawa.
 
Wacha we!! Eti mutual pleasure
 
Naomba "NIKUTUKANE" kidogo kwa mapwenti uliyoyaandika...
 
Fact wachache wataelewa
 

Shit happens though, hata wanawake unamsaidia boyfriend weeh afu akifanikiwa hakujui au mume anakwambia wewe sio wa hadhi yang
.
Mmh sex ni mutual benefits, ila nyie mkinyimwaga ndo wa mnaongoza kulia lia lol. Na laiti tungejua; hawa wapenzi ni bora tungewapa hela hata kama watatukimbia; kuliko kuwapa "raha za ndoa zetu" tunazoziacha kwenye vitanda tunavyolalia na watu wasio na ndoa na sisi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…