Free talk: Mwanamke shtuka!

Kila mwanamke nikidate nae ni wa aina hii. Mungu nilikukosea nini.!
 
Sina cha kuongeza, haya mambo kila mtu ana experience yake.I pray that upate mtakayefurahiana... #mutualfeelings
 
Damn!

Nimekuhurumia.
 
wanawake " wenye" mawazo kama haya ya kwako" walishakufa wote kwenye vita ya kagera" ...but umeongea kitu kikubwa sana'' Mwenye macho aone" na mwenye masikio asikie
 
Jamani sasa mbona me bado nipo hai (kidding). Wenye mawazo hayo bado wapo; wengi tu
wanawake " wenye" mawazo kama haya ya kwako" walishakufa wote kwenye vita ya kagera" ...but umeongea kitu kikubwa sana'' Mwenye macho aone" na mwenye masikio asikie
 
Hivi kumbe kuna wanawake bado wanajielewa?? Mbona sikutani nao asee[emoji1]
 
Logic....
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…