Free talk: Mwanamke shtuka!

Kuna muda huwa unaakili kama vile sio yule mywii ninayemfahamu teh teh teh
Hongera kwa busara hizi wifi yangu hakika Miller amepata mtu sahihi
 
Halafu hii kitu prenuptial ilikuwepo kiaina enzi zile unakuta mjane ananyanganywa Mali za mumewe na ndugu za Mume....kisa hawakuzichuma wote....hii kitu ipo sema ndio haikuwa kisheria zaidi
Walikua waonevu hao. Prenuptial ipo kisheria ila hao walikua wananyang'anya kwa nguvu
 
Kama zamu yake ya kupika halafu hajapika ale huko huko. Na 50/50 mpaka outing na washkaji. Leo ukienda kuangalia mpira na mimi nikiomba kwenda kwenye outing na mashoga zangu unapiga kimya
Ndio maana yake.... Hapo manyanyaso yatapungua....
Kwa Kaka zetu hawa...watakimbia ndoa....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…