FREE PHOTOSHOP PSD for BEGINNERS: BY MTOTOSIX

FREE PHOTOSHOP PSD for BEGINNERS: BY MTOTOSIX

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
JINSI YA KUWEKA MAKUNYANZI USONI​
1276238_429990120455863_1479085474_o.jpg



download link hii >>>>>> http://mtotosix.tk/files/filestore/mzee.zip
 
Dogo lazima nikiri kuwa we ni mkali, na nimekuvulia kofia.
 
ha haaaaaaaaa, safi sana. Ngoja nikuPM zangu na mimi utoe makunyanzi halafu nizirushe hapa
 
hilo jicho la kushoto ndo ukizeeka litakua hivyo?? au umesahau kulirekebisha??
 
hilo jicho la kushoto ndo ukizeeka litakua hivyo?? Au umesahau kulirekebisha??

uyo kwenye picha sio mimi, ni idea tu ilinijia kichwani nikaamua nitengeneze na tushee nilichogungua
 
inawezekana alipata mtoto wa jicho aka cataract, sina uhakika sana mi nilimuona ivo ivo tu

big up mkuu...unani-inspire sana mkuu, ni muda mrefu sijafanya hii mambo kiasi soon itabidi nirudi kwenye huu ulingo
 
big up mkuu...unani-inspire sana mkuu, ni muda mrefu sijafanya hii mambo kiasi soon itabidi nirudi kwenye huu ulingo

huku ndo penyewe, karibu sana tuzidi kupeana maujuzi
 
sawa sawa mkuu! nimeipenda, ila nikukumbushe eyebrows hazibaki black wakati nywele zingine zinakuwa greyed out :biggrin:. apart from a great lesson, nimepandisha livocalbulary langu la kiswahili (erm.. makunyanzi is wrinkles, right?)
 
ila mtotosix kwa beginer kweli hapo umefikisha?

Nafkiri tuelezee step kwanza ulivofanya na necesaary material kama yapo yalitumika
 
mtoto una balaa wewe...

na mke charminglady tunakupa buuureeeeeeeeeee bila mahari....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom