JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
makunyanzi = wrinkles, its easy kutokana na mahitaji yako unaweza fanya upendavyo, art is always unfinished unaweza edit kila mara kadri upendavyo, hakuna mwishosawa sawa mkuu! nimeipenda, ila nikukumbushe eyebrows hazibaki black wakati nywele zingine zinakuwa greyed out :biggrin:. apart from a great lesson, nimepandisha livocalbulary langu la kiswahili (erm.. makunyanzi is wrinkles, right?)
sasa hapo chief ndo patamu, nimekaa nikawaza nifanye tutorial au niwape psd waangalizie nikaona niwape psd coz nilikuwa mbio mbio asubuhi, ila naweza wapa tutorial na neccesary tools neededila mtotosix kwa beginer kweli hapo umefikisha?
Nafkiri tuelezee step kwanza ulivofanya na necesaary material kama yapo yalitumika
hahaha thanksmtoto una balaa wewe...
na mke charminglady tunakupa buuureeeeeeeeeee bila mahari....
JINSI YA KUWEKA MAKUNYANZI USONI![]()
download link hii >>>>>> http://mtotosix.tk/files/filestore/mzee.zip
unataka kutengenezewa nini??
Chezea kukonyeza wanawari kwa nusu karne weye?sas hlo jicho la kushoto la huyo kizee limepata maswaibu ganiii!!??