Kwanza lazima ukikubali kwamba kimetokea kwenye maisha yako,then kichukilie kama tatizo la kawaida na linaweza kumtokea mtu yeyote,and jiamini kwamba bado unanafasi ya kufanya viziri katika maisha yako.
Ukiwa na mtazamo huu,hatachukua mda kukisahau.
Nionavyo mimi ujanja nikupata kitu cha kuflash out memory yako- najua watu wa IT wanweza memory za electronic devices lakini ubongo sina hakika japo wengine husema a quality time na umpendaye can have the same effect.
Yes kaka, lazima niwe peke yangu ili nisionekane chizi, nakumbuka one day my Girlfriend alinikuta halafu hakushangaa, naye akajiunga tukawa machizi kwa muda. lol.