free mind!

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,626
ukitaka kutoa kitu kichwani kwako kabisa kabisa unafanyeje
nimefikiria au nidrink?
 
hakuna kudrink wala nini.....unapotezea.....
 
vp mkuu...umetendwa au? Usimdelete bana msikilizie kidogo lazima arudi tu....
 
unaenda bafuni unapiga keleleleeeeeeeeeeeeeeeeeee af unaoga kuanzia kichwani!ukitoka hapo poa
 
Kuwa busy jf.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hili nalo neno i see!jf its a stress free zone!ukikutana na picha za Boflo kama aliyoituma leo unaanzaje kuwa na mavitu kichwani!
 
Last edited by a moderator:
unaenda bafuni unapiga keleleleeeeeeeeeeeeeeeeeee af unaoga kuanzia kichwani!ukitoka hapo poa

lazima aanguke....na akianguka hawezi kuwa normal ten by babu wa loliondo..
 
sikiliza music.. tafuta zile slow jamz!!
Kama vipi jukwaa la photo hapa JF linahusika...
 
Hakitoki hicho, kizike tu kwa kufikiria mengine!
 
nitakula nini? nitakufa mwenzenu nisaidieni
Smile rafiki kipenzi......fafanua basi nini kimekupata ili tujue tunakushauri vipi

Ila kufa hufi sema cha moto ndio utakiona
 
Last edited by a moderator:
Kwanza lazima ukikubali kwamba kimetokea kwenye maisha yako,then kichukilie kama tatizo la kawaida na linaweza kumtokea mtu yeyote,and jiamini kwamba bado unanafasi ya kufanya viziri katika maisha yako.
Ukiwa na mtazamo huu,hatachukua mda kukisahau.
 
Fanya activities yoyote unayoipenda mfano music, games, movies, going out in a quite place.

Mimi huwa, ninajifungia room, nazima simu then naweka headphone, nafungulia mziki ninaoupenda (mfano Rock and Metal), huku nikicheza kwa furaha, kama kuna ufagio nitaufanya guitar, huku nashake kichwa, sometime nina pretend ndio drummer au lead singer kwenye show fulani, lol...i love Music. {sounds crazy}
it works.
#ROCK AND ROLL

Sometime ninafanya MEDITATION, kama wewe ni mpole, and hupendi fujo faja MEDITATION, ni nzuri kuliko kunywa pombe.
 
hakuna kudrink wala nini.....unapotezea.....
Kupotezea ndo kufanyaje homie?
yani unafanya aje ndo uwe umepotezea?

una drink au unalala au unahamia airtel au...??
😛layball:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…