Free Media na mkono wa Lowassa

Mm nakuunga mkono,nitaacha kununua magazeti yake kama ataendelea na msimamo huo.sifikirii kama mbowe anaweza kumtosa EL
 
[COLys]kama uliyoandika ni kweli basi mimi namsifu mbowe naninazidi kuwa na imani naye!! ..kwanini ? kwasababu huo ndio uhuru wa vyombo vya habari, mbowe hatakiwi kuliingilia gazeti kwa chochote kwani media inatakiwa isiwe na bias...ni kweli tanzania daima imekuwa ikibalance sana habari zake tofauti na gazeti la makada....huo ndo uhuru wa kweli kwa vyombo vya habari...jenga imani yako kwa mbowe[/FONT][/COLOR]

Nami nkuunga mkono best! Huyu atakuwa mwanaCCM!
 
...mimi nilidhani kuwa ungemsifia Mbowe kuwa ni mwanasiasa makini. Maana kukiacha huru chombo cha habari...ni jambo la sifa. Au mtoa hii thread ulitaka waandishi wa TANZANIA DAIMA wawe km makanjanja wa gazeti la Uhuru na Mzalendo kusifiasifia upumbavu wa Chama Cha Mafisadi (CCM)?
 
wafuasi wa chadema utawajuwa tu! kiongozi wao akiongea kinyume na matashi yao t u hata kama ndivyo ilivyo utasikia eeeh amepewa hongo, ametusaliti, nk. ila akiongea kwa mujibu wa matashi yao hata kama ni upuuzi watasema eeenhe huyu ndo kiongozi. duh
 
...anaingiaje Mbowe kwenye habari ya waandishi wa Tanzania-daima? Jamani, Mbowe anatekeleza dhana tunayoipigania ya uhuru wa vyombo vya habari. Au mlitaka Mbowe awafanye waandaishi wa Tz-daima km wale makanjanja wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo wanaosifiasifia hata upumbavu wa msimamo wa wamiliki wake,yaani Chama Cha Mafisadi - CCM?
 
...viva Mbowe!! Nakupongeza kwa kuwapa uhuru waandishi wa gazeti lako. Unaonyesha ni jinsi gani unavyoheshimu dhana ya uhuru wa vyombo vya habari!!
 
content haina OBJECTIVE hebu ongezea nyama kidogo na najua hakuna cha zaidi ni cooked data
 
Back
Top Bottom