Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,152 Reaction score 7,423 Apr 3, 2017 #2 Wamefanyaje..utakuwa msabato wewe..
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,884 Reaction score 82,532 Apr 3, 2017 #3 Ndo nini sasa? Unajaza tu database za watu bure
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,634 Reaction score 89,398 Apr 3, 2017 Thread starter #4 chaliifrancisco said: Ndo nini sasa? Unajaza tu database za watu bure Click to expand... unafikiri jambo likiwa gumu kwako ndio kwa wote..? hiyo database ipo ili ijazwe hlf hata hivyo wanaweza kufuta
chaliifrancisco said: Ndo nini sasa? Unajaza tu database za watu bure Click to expand... unafikiri jambo likiwa gumu kwako ndio kwa wote..? hiyo database ipo ili ijazwe hlf hata hivyo wanaweza kufuta
Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Apr 3, 2017 #5 Kumbe kigamboni nako ni freemason?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,634 Reaction score 89,398 Apr 4, 2017 Thread starter #6 Leonard Robert said: Wamefanyaje..utakuwa msabato wewe.. Click to expand... ndio maana huwa najifunza kuelewa sio kukariri! na hii ndio athari ya kukariri pole mkuu!
Leonard Robert said: Wamefanyaje..utakuwa msabato wewe.. Click to expand... ndio maana huwa najifunza kuelewa sio kukariri! na hii ndio athari ya kukariri pole mkuu!
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,774 Reaction score 26,210 Apr 4, 2017 #7 naona wachangiaji hapo juu wameshindwa kutofautisha kati ya 'free mason' na 'freemason'. Na kwa kupitia hili, ndo utaweza kujua upeo wa akili ya mtu
naona wachangiaji hapo juu wameshindwa kutofautisha kati ya 'free mason' na 'freemason'. Na kwa kupitia hili, ndo utaweza kujua upeo wa akili ya mtu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,453 Reaction score 872,065 Apr 4, 2017 #8 KENZY said: Click to expand... Wajenzi huru....... Kazi ya heshima na viwango
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,634 Reaction score 89,398 Apr 4, 2017 Thread starter #9 mshana jr said: Wajenzi huru....... Kazi ya heshima na viwango Click to expand... na wanaweza kujenga popote iwe nchi kavu au majini and that why they are free mason.
mshana jr said: Wajenzi huru....... Kazi ya heshima na viwango Click to expand... na wanaweza kujenga popote iwe nchi kavu au majini and that why they are free mason.