Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,123 7,372 Apr 3, 2017 #2 Wamefanyaje..utakuwa msabato wewe..
Chaliifrancisco JF-Expert Member Jan 17, 2015 25,980 79,562 Apr 3, 2017 #3 Ndo nini sasa? Unajaza tu database za watu bure
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 32,213 75,723 Apr 3, 2017 Thread starter #4 chaliifrancisco said: Ndo nini sasa? Unajaza tu database za watu bure Click to expand... unafikiri jambo likiwa gumu kwako ndio kwa wote..? hiyo database ipo ili ijazwe hlf hata hivyo wanaweza kufuta
chaliifrancisco said: Ndo nini sasa? Unajaza tu database za watu bure Click to expand... unafikiri jambo likiwa gumu kwako ndio kwa wote..? hiyo database ipo ili ijazwe hlf hata hivyo wanaweza kufuta
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 32,213 75,723 Apr 4, 2017 Thread starter #6 Leonard Robert said: Wamefanyaje..utakuwa msabato wewe.. Click to expand... ndio maana huwa najifunza kuelewa sio kukariri! na hii ndio athari ya kukariri pole mkuu!
Leonard Robert said: Wamefanyaje..utakuwa msabato wewe.. Click to expand... ndio maana huwa najifunza kuelewa sio kukariri! na hii ndio athari ya kukariri pole mkuu!
Kitombise JF-Expert Member Sep 24, 2013 8,568 25,610 Apr 4, 2017 #7 naona wachangiaji hapo juu wameshindwa kutofautisha kati ya 'free mason' na 'freemason'. Na kwa kupitia hili, ndo utaweza kujua upeo wa akili ya mtu
naona wachangiaji hapo juu wameshindwa kutofautisha kati ya 'free mason' na 'freemason'. Na kwa kupitia hili, ndo utaweza kujua upeo wa akili ya mtu
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,547 751,991 Apr 4, 2017 #8 KENZY said: Click to expand... Wajenzi huru....... Kazi ya heshima na viwango
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 32,213 75,723 Apr 4, 2017 Thread starter #9 mshana jr said: Wajenzi huru....... Kazi ya heshima na viwango Click to expand... na wanaweza kujenga popote iwe nchi kavu au majini and that why they are free mason.
mshana jr said: Wajenzi huru....... Kazi ya heshima na viwango Click to expand... na wanaweza kujenga popote iwe nchi kavu au majini and that why they are free mason.