Laptop na desktops zimeshuka bei sana miaka hii sio kama kipindi cha nyuma, kama unaweza kununua simu ya 85000/= basi na desktop unaweza kupata, ila bure kabisa ni ngumu, dhana ya kukaa na kufikiri vya bure zimepitwa na wakati. Ukiakaa kungoja vya bure hutosonga mbele.