Free lance sale executive officer

okellecky

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
67
Reaction score
8
Hi wana jf, kwa walioomba kazi mwananchi communication post hiyo apo juu wameanza kuita watu kwenye intrv alhamisi ya trh 4 April, kwa wale wadau hivi huwa wanauliza maswali gan? kwa ambaye alishafanya intrv yao naomba kujuzwa. Na vp kuhusu mshahara kwa hiyo position ya free lance sales executive huwa inaanzia shiling ngapi? natanguliza shukrani.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mi napita tuckilizie wadau mi nliomba hata cm yao cjapata,kweli mwaka wa shida
 
Naomba nikwambie Free lance hakuna mshahara bt comission unalipwa kutokana na ulichouza...
 
Naomba nikwambie Free lance hakuna mshahara bt comission unalipwa kutokana na ulichouza...

Hapo ni kusaga viatu tu!
atafute riseon yenye ngazi 12 kumudu kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…