Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

sisi tuliosoma chacha mwita vs mwita marianya tunaona vumbi tu hapo,sijui vpn,proxy,dodge,ni vitu gan hivi? sie ma layman wa it tufanyeje?
 
Imekubali mkuu njunwa wamavoko na inafanya kazi kama kawaida.

Windows 7 Ultimate 64-bit.

Ahsante.:clap2:
 
Last edited by a moderator:
World class.

pinky.JPG
 
Inabidi uwachallenge akina Cestus Abloodi farijiel maana hawapigi mishe afadhali wewe ulinitumia server za watu tofauti na mm niliokuwa nawajua au ukibahatisha kupata ujanja wa kutumia TCP 443 kwa Magic sim itakuwa poa maana mm UDP port 443 inapiga kazi fresh na Lport fln hivi hivo ikibuma #0 labda ibume na 443
Lkn usinisahau maana umenifurahisha jitihada lkn usiiuze kwa 5000 utakuwa unaua bussiness

mkuu nipo chimbo ile turtorial yako nimeifatialia vzur na nimeweza kuedit zile config xema connection inafail baada ya kuingza zle password za kule kenye vpnbook..ila serious umenifungua macho
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kwa muda tu. Baada ya muda fulani inakuwa haiwezekani tena.

Niliiona hii thread hapa Jukwaani tokea siku ilipowekwa ila ikawa vigumu kuamini kwamba kuna Mtanzania anayeweza kukupa free internet simply because umem-PM (tunajuana roho zetu Waswahili).

Juzi usiku nikaona niombe hizo username na password na mimi nijionee hiyo "free internet". Jana asubuhi zikafanya kazi vizuri ila baadaye kurudi jioni kuzijaribu hazikufanya kazi.

Akiulizwa ni kwanini zinakataa anawaambia ni kwasababu hawajaleta feedback wale walioleta feedback anawajibu alitaka awaonyeshe inawezekana ili na wao watengeneze configuration files zao zitakazofanya kazi (which is funny). Wapo watakaoweza kuziConfigure hizo files lakini unatakiwa uwe na extra skills and it's not only about kuCopy na kuPaste IP address.

Kwa ushauri, ungeweka hapo juu madhumuni ya hii thread yako ili kupunguza replies/comments zinazojirudia kwenye hii thread na kupunguza idadi ya watu watakao ku-PM (labda kama uwe unapenda kutumiwa PM).

Unaposema kitu ni free bila ya kutoa angalizo watu tumetofautiana jinsi ya kufikiri cause kuna mwingine anaweza kuhisi wewe ni "attention seeker" au ni limbukeni wa PM.

Samahani for the long post ila ninaimani itawasaidia baadhi ya watu.
 
Sijui niseme ulidandia GARI kwaa mbele afu ushapigwa mzinga naona unagalagala ngoja nije kukupa Fist AID
Uliaanza hauamini lkn ukaamini sasa baada ya kuamini ilibidi utengeneze Configs zako ambazo ni simply copy and Paste ambayo wewe unaita EXTRA SKILLS.... sijui computer unatumia ya nn kama na hilo ujui si utuachie Smart boys kama sisi tuendelee kuzitumia
Tatizo hausomi UPDATES ninazo weka lkn waliosoma Vigezo na Masharti wanaelewa Vizuri lkn kwa kuwa haukusoma Vigezo na masharti as usual yetu yashakukuta tayari
Kwa MSAADA Soma footer yangu ambayo inasema FREE INTERNET OFFER STILL AVAILABLE afu reason ujiulize ni nn maana ya offer?

Kama unamfundisha mwanafunzi lazima umuoneshe mwanafunzi kuwa kupata 100% inawezekana na baada ya hapo umpe mtihani apigane kupata hiyo mia
 
Hichi ndicho nachokipata jamani:confused:
 
Attachments

  • 1380703566992.jpg
    1380703566992.jpg
    129.3 KB · Views: 69

Similar Discussions

Back
Top Bottom