Pole mkuu Hata Mimi nilishawahi Piga 7000,sasa yupo Jamaa wa uhakika unapata dk 1400 mitandao yote kwa mwezi kwa 7000 ukihitaji nakupa namba Mimi kaniunga na inapiga kazi.ni pm Nikupe nambazake.Sina hamu nahawa jamaa mwezi wa kwanza mwaka huu nimeibiwa 20,000/= ya tangazo kama hili jamaa aliweka tangazo kama hili nikamtafuta akasema tuma pesa nikupe Huduma nikatuma hiyo pesa hakupatikana tena hewani wakuu
Tunnelguru not for free mpk ulipieTunnel Guru ukiwa na ufahamu wa Virtual Private Network unaweza ukafanya mwenyewe tu
Mkuu nami nipoPole mkuu Hata Mimi nilishawahi Piga 7000,sasa yupo Jamaa wa uhakika unapata dk 1400 mitandao yote kwa mwezi kwa 7000 ukihitaji nakupa namba Mimi kaniunga na inapiga kazi.ni pm Nikupe nambazake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mijitu mingine bhana! Mswahili Mswahili tu. Hivi kama ungeweka tu kila kitu hadharani hapa ungepungukiwa na nini labda?
Jamani sijaona mrejesho nani aliyefanikiwa kupata vifurushi hiviSubiri nipokee hela yangu ya mchezo
Hahah pole matapeli hawa kua makiniSina hamu nahawa jamaa mwezi wa kwanza mwaka huu nimeibiwa 20,000/= ya tangazo kama hili jamaa aliweka tangazo kama hili nikamtafuta akasema tuma pesa nikupe Huduma nikatuma hiyo pesa hakupatikana tena hewani wakuu
mpigo juu ya mpigoPole mkuu Hata Mimi nilishawahi Piga 7000,sasa yupo Jamaa wa uhakika unapata dk 1400 mitandao yote kwa mwezi kwa 7000 ukihitaji nakupa namba Mimi kaniunga na inapiga kazi.ni pm Nikupe nambazake.
Tueleweshe mkuu
Tapeli keshabadilisha lugha baada ya kushitukiwa.every user must have ac
Mkuu kwa hiyo elfu 7 napata gb ngapi ?Pole mkuu Hata Mimi nilishawahi Piga 7000,sasa yupo Jamaa wa uhakika unapata dk 1400 mitandao yote kwa mwezi kwa 7000 ukihitaji nakupa namba Mimi kaniunga na inapiga kazi.ni pm Nikupe nambazake.
Umejuaje kuwa hicho ni Kiingereza na sio kireno au Kilatini.?Nitafsirie ulichikiandika hapo kwani Mimi sijasoma kama Wewe mwenzangu na bahati mbaya hata Kiingereza chenyewe nacho sikijui.
Umejuaje kuwa hicho ni Kiingereza na sio kireno au Kilatini.?Nitafsirie ulichikiandika hapo kwani Mimi sijasoma kama Wewe mwenzangu na bahati mbaya hata Kiingereza chenyewe nacho sikijui.