Are u sure u r the true son of ur father?
Kidding of course.
So here is the reason of hope:-
Kama vile si wanaume wote ni mabazazi hivyo hivyo si wanawake wote ni malaghai. Wewe ukiacha ubazazi utamsababishia at least mwanamke mmoja asiwe laghai. So nikiamua kuacha, God knows kati ya married men say 12 walionotongoza Mwaka huu at one or two walikuwa wananitaka mimi as Kaunga na sio sex tu, hivyo nitakuwa nimewakwepesha na uzinifu.
Same thing to you, usipowatongoza utawaokoa!
hahah...12 wacha bwana inaelekea unatamanisha lol. wacha bwana mie niendelee kutiwaamini wanawake...am safer that way.
Ha ha ha, nikwambie kitu?
Kama umeshazaa watoto wako say 2, fanya vasestomy kisiri siri huhitaji DNA test wala nini!
Naona Anguko la Familia nyingi linakuja.
Kaunga, ni kweli, women don't cheat, na hawafanyi ngono kwa ridhaa yao bali kwa shinikizo la wanamme. Hivi wanaenjoy kweli?
Nimesema mfano, maana yake si halisi!
haya usiwaamini lkn usiwachezee hasa emotionally.
Mbona huwa unasema HUTAKI, si maana yake unalazimika kufanya! LOL
hahhha ah mie napenda kiwa mkweli tuu....mie nakifancy na nataka kukugegeda..ila nimeona kuwa hamtoi papichi mkiambiwa ukweli so i am left wit no choice bt to play wit ur emotions
Ni kweli sitaki
Afu si umeona niko kwenye mkakati wa ku-practice celibacy
kwa hiyo ni kwamba hukubali baba kuwa na shaka kama anayedaiwa kuwa mwanae ni mwanae kweli kunaweza kukazua sokomoko?
Ni kweli sitaki
Afu si umeona niko kwenye mkakati wa ku-practice celibacy
Lol. Na hayo masokomoko yanatokea mara ngapi kwenye ndoa? Hivi inatokea out of nowhere mnaanza sokomoko kwa ajili ya wasiwasi wa paternity? Lazma sokomoko lianzie mahali, hilo la patternity ni hitimisho la sokomoko in my view.
Eti juzi Mzee Mmoja aliamua kubeba familia yake yote ya mkewe na watoto watano, wakaenda kupima hiyo DNA.
Mbona alirudi peke yake!!, hadi leo anaish peke yake from a family of 7members.
DNA noma aisee!
Wifi King'asti, siku hizi wana engender kila kitu; na ninafikiri gender faidika hapo ni ya kiume ila wanashindwa kuisema aloud.
BTW mbona kina dada tunaipinga? Sort of!
It's just an end,
Hadi mtu anafikia hatua hiyo ujue keshaamua liwalo na liwe!
He he he, I want to be a nun:glasses-nerdy:, nothing moreKUNA MDADA ALISHAWAHI NIAMBIA UKIONA YOUR MAN IS PLAYING INNOCENT, ANARUDI 5 PM KILA SIKU NA HANA HATA MSG ZA MASHAKA, THEN YOU SHOULD BE MORE WORRIED MANAKE SIKU UNAJUA WHAT HE IS UP TO UTAZIMIA. NDO HII YA U-CELIBACY. MI :shut-mouth:NIMENYAMAZA TU ILA I AM FREAKING WORRIED ABOUT YOU. SERIOUSLY SISTER FIDESTA KONGOSHO
Umeona babu ndiye wa kumuomea?
Shukuru Mungu alishang'atuka kitambo!